Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kweli kabisa. Jf has lost its fairness..
 
lumumba the son umenifurahisha lakini watasema hao ni ccm.wao huwa hawakubali na moderator ataipangua baada yamuda
 
Last edited by a moderator:
Mods acheni hujuma.Mnaleta makada kuanzisha uzi mnafuta uzi wa makamanda.sasa kada hawezi kuleta updates
 
Kawe umeme umekatwa mida hii. Updates sehem zingine wadau
 
Kuna umeme uko jaman maana mda uuh uku kwetu tegeta wamekata
 
Jamani tuliokatiwa umeme tuseme tuko wapi ili tujue ni eneo kubwa kiasi gani lililokatwa umeme
 
Jamani vijana wenzangu tujitokeze tarehe 25 tukamalize kazi ya kuing'oa ccm. Kichinjio chako tunza
 
...wana jamvi umeme umekatwa sasa Dar..hamna matangazo yoyote ya TV wala radio ...tanesco wamekata umeme jamani....huu ushetani gani huu sasa!!....nini hiki sasa...kweli tumefika hapa kweli TZ???..haiwezekani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…