Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Lumo vituka wamekata pia
Jamani tunaumia hata tusio wanachama
 

Hawajali lolote kwa sasa wana nia yao wanaitaka baas mengine hawajali kabisa. . .. .
 
Pigia simu mtu aliyoko karibu na tv akupe taarifa.



Hapa ni jangwa ndio maana panaitwa Jangwani, sasa mafuriko haya ya jangwani kwako haoni nini watu kuacha kazi zao na wengine kufunga biashara zao kufurikia jangwani? Kuna kitu cha muhimu kwa maisha yao la sivyo mwenye akili hawezi kujipeleka hivi hivi jangwani na hakuna asiyejua kadhia ya kuwa jangwani.
 
Hawa mbwa ilala wamekata umeme...kuwakomoa ngoja moja kwa moja naenda jangwani.
 
duh watu toka mikoani hao, si ndo uzinduzizi wa mbio za ukawa kitaifa? honereni watanzania
 
Yaaap!! Wamerudisha umeme Babati. ITV tunangalia hapa Mawingu bar. Ni nyomi la kufa mtu. Tumejaribu kupiga kura kati ya EL vs JP
Mhh! Tuko wawili tu wa JP,wengine,13,wako na EL.4 hawajapenda kujiweka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…