Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

bado dakika 150 Mkutano uishe ......tick tock tick tock
 
Ninayoshuhudia hakuna nafasi ya inzi kutua jangwani.ni gharika kuu.
 
Umeme umekatwa kila sehemu

Hata siku ya uzinduzi wa kampeni zetu pia umeme ulikatwa. Kwa sasa TANESCO wapo kwenye kusimika mitambo yenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi, je ulitaka waache kazi hiyo kisa huyo mgonjwa wenu!?!
 
hakika gharika iliyoonekana leo jangwani lazima ccm wajiulize ni kwa nini yanatokea haya na lazima watagundua kwamba mwaka huu kazi ipo
 
Umeme umekatwa kila sehemu

sio kila sehem mkuu, pande hizi walikata tangu saa 12 asubuhi, magazeti radio free sikumaliza, lkn tangu saa 13:30 hrs umeme umerudishwa na tunaona live kinachoendelea
 
Mm nimewasha solar natizama itv,watu wengi kwelikweli shamrashamra si mchezo,naamin jk na wenzie wako kwenye tv wanastaajabu tsunami hiii
 
Jamani tuliokatiwa umeme tuseme tuko wapi ili tujue ni eneo kubwa kiasi gani lililokatwa umeme

Mwanza huo umeme hatuujui toka asubuhi maeneo mengi. Nina hasira hapa hakuna mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…