Nafatilia mkutano wa UKAWA hapa. Lakini kinachonishangaza huyu MC wa ukawa ambae ni kiongozi wa CHADEMA bwana Mrema akitoa salamu muda wote kwa kusema Peoplee peke yake bila yakutaja salamu za vyama vyengine na hivyo kuwatia simanzi washirika wengine wa UKAWA kama CUF , NLD na NCCR . ambao nao wamejitokeza kwa wingi kuunga mkono UKAWA.
iringa burudani, wamesharudisha umeme, tunashuhudia gharika live bila chenga huku masako wa itv akichagiza.., huyu mzee ni role model wangu katika watangazaji wote africa