Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

leo nimecheka sana na nikakumbuka lile neno la Shehe ubwabwa!
badala ya dua naona kahutubia!

#saidroko
 
Kweli Shehe amemaliza kila kitu atayeiba kura na apate kansa ya Damu.Nimeipenda Sana hii
 
Huyu msoma dua wa kiislam Jangwani dah katisha aisee, hii sala gani kuombea watu wapate magonjwa?

Hatarii sana kwa kweli.

Ila kamponda sana Lowasa na Mbowe eti "Yaa Allah, tumechoshwa na viongozi waongo" ha ha ha!
 
hawa mashehe na askofu wamejitoa ktk utumishi wa Mungu aliyehai. sikuzote tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe, wao wanamlzamisha Mungu?
 
Back
Top Bottom