Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Wapi updates?

3X6A6344.jpg
 
Mbona kuna uzi mwingine kama huu wenye kuleta updates za maana umeondolewa? huyu sie huku hatu muelewi nahisi katumwa na huku hakuna umeme.
 
ngoma draw. nao mkutano wao hautaonekana kwani umeme umekatwa dar nzima kwa lengo la kuwakomoa UKAWA lakini bado watu tunafuatilia kupitia kwenye redio. makamanda mliopo ktk mikoa mingine tuambieni kama huko nako TANESCOCCM wamezima umeme. hizi hujuma zina mwisho.
Umeme hauja anza kukatwa leo wewe ..kuna shughuli za kusimika mitambo ya Gas...
 
Kama admin hataki kusikiliza maoni/malalamika yetu dawa ni kuanzisha au kuhamia blog/forrums zingine. Ikibidi hata facebook.

hamia kwan tumekuita huku?
Kwa mnazidi kutujazia id nyingi
 
Band inatumbuiza kwani hiyo ni fiesta??
Ukawa kwa kura matapishi yao hawajamb sana
 
ngoma draw. nao mkutano wao hautaonekana kwani umeme umekatwa dar nzima kwa lengo la kuwakomoa UKAWA lakini bado watu tunafuatilia kupitia kwenye redio. makamanda mliopo ktk mikoa mingine tuambieni kama huko nako TANESCOCCM wamezima umeme. hizi hujuma zina mwisho.

Dodoma upo baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom