MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
kelele zote nilijua unahamia tv ya FISADI LOWASSAWanajikomba tu hao TBCCM ili wasionekane noma kutumia kodi za umma kupigia debe Padlock na Samia. Hawana lolote. Tena wanamung'unya sana maneno hata uhalisia unatokea jangwani huupati na wanakwepa kupeleka Kamera kwenye umati. Yaani ninahamia TV nyingine kupata uhalisia. TBCCM ovyooo.