Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Eti hawatampiga mtu wakati jana wamewapiga watu waliotoka mkutanoni Mbeya au hajui,?
 
Tunashukuru kwa kusomba watu na kujiridhisha nafsi zenu kwamba mmeshindana na CCM ..chama dume, msisahau kuwarudisha watu makwao

tulia hivyo hivyo we nzi wa kijani na njano tumeenda wenyewe natutarudi wenyewe
 
Vyombo vya habari mbalimbali viliripoti kuwa Dr Slaa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye haifahamiki hatma yake na ametawaliwa na SINTOFAHAMU kubwa ndani ya Chama hicho kuwa atahudhuria kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za UKAWA ulioratibiwa na Edward Lowassa, Mgombea Urais mteule wa UKAWA.

Wala hakuna mbunge wa CCM, ama chama kingine chochote ambae amejiunga na UKAWA na kuachia majimbo waliyosimama ili wabunge wa UKAWA wapite bila kupingwa.

Ndugu zangu watanzania, tumedanganywa tena kudanganywa kuliko kukubwa kabisa..

 
Nyie Chadema mbona mnapenda kutugawa watanzania? Kuna ubaya gani Kada wa CCM kuanzisha uzi wa Ukawa?

hakuna tatizo per se

tatizo linakuja pale anapoanzisha uzi kwa nia ya kuweka updates ... kisha anaingia mtini kwa makusudi

Hii si mara ya kwanza kufanya hivi, kwanini kafanya tena hivi this time again?
 

Ukiwa mwepesi kusikiliza tetesi msimu huu lazima utachizika

Give room for your own self
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…