Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

natamani nione sura ya Fisadi Kikwete anavyopigwa za uso
 
Sumaye kasema lowasa ndio aliempitisha kikwete kwenda ikulu na wakati huo huo wapinzani wanalalamika kuwa CCM walishinda kwa kuiba kura sasa inaonekana kumbe mwizi wa kura ni LOWASA
 
Epa waliposamehewa vichwa vya treni na feri za zamani lowasa alikuwepo? Sumaye
 
Yaani imekuwa ni kampeni ya Kumsafisha Lowassa na Sumaye badala ya kutuambia watatufanyia nini wao kama UKAWA!wamechemka leo!watu walikua wanataka kusikia nini
 
sumaye amewamaliza jamani wataponea wapi?
cc lizaboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…