The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #61
Ukiongelea ustahimilivu basi kwetu hapa ndio zero kabisa maana ndugai kusema tu nchi itapigwa mnada aling'olewa Asadi kusema tu huu ni udhaifu wa bunge aling'olewa na watu wakiongea maneno kwa ukali kidogo tu utamsikia kiongozi analalamika wananitukanaNi lazima nchi ya kenya ikubali kuwa na ustahimilivu wa kisiasa. Kutofautiana kisiasa ni afya ya nchi. Siyo wewe Rais ukitofautiana kisiasa na mwenzako unataka umfukuze mwenzako kazi. 🤣🤣🤣🤣
Rais wa kenya anatakiwa kuwa mstahimilivu. Na kama alimteua Rigathi Gachagua kuwa mgombea wake mwenza na kisha akamsaidia kupata kura kutoka kwa Wakikuyu kisha akamshinda Odinga, anatakiwa kuwa mstahimilivu na wamalize mambo yao kwa mazungumzo, maana wataendeleza na kukuza uhasama wa kikabila. Tunaomba uchaguzi wao wa 2027 yasije yakatokea yale ya Mungiki
Kule kuna uvumilivu mkubwa sana wa kisiasa