Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.
Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu
Wasalaam,
Nongwa