Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Lugwadu kwa nini huwezi ishi? Mbona kuzuri?Lugwadu siwez kuishi hata bure kule. Nowadays naishi Kibondemaji, kijichi ni makazi ya familia. Mwasonga kuna kiplot kule nimekinunua mwaka jana
Kibondemaji ni wapi?