Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Shamba wapi mkuu? Umewahi kufika mwasonga ipi?Kule shamba,wenyeji hawalalamikia ila wew mgeni unalialia
Malamba mawili hukuNi wapi huko?
Mashamba kanunue pemba mnaziBei za mashamba zipoje huko Mwasonga?
Mwanza?Malamba mawili huku
MbeyaMwanza?
Mendeleo kule yanadorora sawa. Watumie barabara ya lami kama variable lakini pia nauli ikishuka kuna namna itatusaidia hata kufikiria kuhamia au kujenga hivyohivyo. Mwasonga sio mbali kama bunju kutokea city center, wonder ful kwemda kariakoo hakuna gari na kuja kibada nauli mlimaHayo ndio maajabu ya kigamboni, pengine kwa sababu hakuna panda shuka nyingi, mzunguko unakuwa mdogo
Pemba mnazi kumeanza changamka?Mashamba kanunue pemba mnazi
Kimbiji kwa sasa mdo imechangamka, mwasonga na Puna kias chake. Pia magodani na cheka sio mbaya ila changamoto ya magodani ni uswazi kwelikweli mana panauzwa hole la sanaPemba mnazi kumeanza changamka?
Mwarobaini wa hayo yote ni kuwekwa Barabara ya lami tuMendeleo kule yanadorora sawa. Watumie barabara ya lami kama variable lakini pia nauli ikishuka kuna namna itatusaidia hata kufikiria kuhamia au kujenga hivyohivyo. Mwasonga sio mbali kama bunju kutokea city center, wonder ful kwemda kariakoo hakuna gari na kuja kibada nauli mlima
Ni 800 mkuu nashangaa hili juzi nmewatumia ujumbe wamerespond ngoj tuone kama watalifanyia kaziKwa calculations za latra, kwa umbali huo nauli haikutakiwa kuzidi 1,100/=
Ndio mkuuMwarobaini wa hayo yote ni kuwekwa Barabara ya lami tu
Kila siku inachongwa na tayari bajeti ya lami ishawekwa, Ndugulile toka kipindi hayuko Who alikuwa hafatilii, leo hii kashapata sababu.. Mambo mengiNadhani ishu ni ubovu wa barabara.