Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Nov 17, 2024 #41 Kalaga Baho Nongwa said: Lugwadu siwez kuishi hata bure kule. Nowadays naishi Kibondemaji, kijichi ni makazi ya familia. Mwasonga kuna kiplot kule nimekinunua mwaka jana Click to expand... Lugwadu kwa nini huwezi ishi? Mbona kuzuri? Kibondemaji ni wapi?
Kalaga Baho Nongwa said: Lugwadu siwez kuishi hata bure kule. Nowadays naishi Kibondemaji, kijichi ni makazi ya familia. Mwasonga kuna kiplot kule nimekinunua mwaka jana Click to expand... Lugwadu kwa nini huwezi ishi? Mbona kuzuri? Kibondemaji ni wapi?