Hilo Jimbo mbunge wake ni Bwana John Mnyika wa CHADEMA
Chadema watachukia na huenda wakaomba tank libomoke.
Ila ilani ya Ccm ndio inatekelezwa.Hilo Jimbo mbunge wake ni Bwana John Mnyika wa CHADEMA
Wewe ni Great thinker ...!?Ni habari kwa Great thinkers pekee
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymoreMagufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa
Pitia thread zangu ulibip ukapigiwa sasa unaanza kujitambua!Wewe ni Great thinker ...!?
Ni nini wewe umegundua kipya mkuu cha kusaidia watu kuanzia walau 100..!?
Au ni kuleta habari kama hii ambayo tutaisoma kisha itapita kama upepo isitusaidie neno lolote...!?
Huo ndio ugreater thinker mkuu au...!?
Kuwa serious mkuu,
Ukijitazama kwenye kioo unajiona chui kumbe nyauuuuuuu....!!
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore
Tunachoshuhudia hapa ni matumizi bora ya fedha za walipa kodi hasa katika miaka mitano ya JPMWatu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore