Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Eti wewe ndio msomi pekee mataga una stashada ya welding theory uliyoipata kwenye chuo cha kishkaji kilichosajiliwa na veta juu ghorofani kariakoo
Ngwini unapojaribu kuhoji elimu yangu...ha ha ha..
mimi nimeijua a square plus b square equals to c square nimeijua darasa la nne na ndio iliyoniinspire kusoma sana
 
mnyika atafute jimbo jingine sio hili tena, jimbo hili kwa sasa linahitaji mbunge aliye karibu na wananchi na awe mkaazi wa jimbo la kibamba, wananchi wa Kibamba kwa muda mrefu wamebaki wakiwa hawana wa kumelezea chamga moto zao
 
Fly over na Mradi huu ni plan za Kikwete na hata fedha zilitafutwa na yeye..mimi siasa huwa ni ngumu kuelewa hata kama alifanya mwenzako basi utajisfia wewe..
 
Magufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa
K.enge maji wewe. Umewahi kufika Botswana?

Ila ni kweli kumsifia hawara yake kuwa kamaliza Corona badala ya kuwasifia madaktari huo nao ni ujasiri ambao viongozi wengi Africa hawawezi kufanya.
 
Fly over na Mradi huu ni plan za Kikwete na hata fedha zilitafutwa na yeye..mimi siasa huwa ni ngumu kuelewa hata kama alifanya mwenzako basi utajisfia wewe..
Kwani umeambiwa Serikali ya CCM inafanya vitu visivyokuwa kwenye mpango?
 
Tunachoshuhudia hapa ni matumizi bora ya fedha za walipa kodi hasa katika miaka mitano ya JPM
Mkuu kwa namna Magufuli tulivyomkabidhi akili zetu,Yale magorofa yaliyojengwa kwenye kambi zote za JWTZ nchi nzima,barabara za lami zilizotandikwa nchi nzima,zile twins tour za BOT,mwendokasi na Yale madaraja makubwa Kama la malagarasi na kilombero yangefanyika kwenye utawala wake,Kuna watu mngeanza kumwabudu na kumshujudia
 
Wewe kula ulale mambo haya yapo juu ya uwezo wako
Ni kweli mkuu Kama tank la maji lenye uwezo wa kutunza Lita milioni 10 nalo linaonekana ni Jambo la ajabu sana basi acha nilale tu maana hakuna namna.nchi imeshatamalaki upoyoyo
 
Labda unaacha alama ya kutoa na sio kujumlisha.
 
Back
Top Bottom