Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Ndio unaziona sasa, tulia unyolewe vizuri.Kweli mkuu. Mimi ni CCM ila hizi siasa za Magufuli sijawahi kuona....
Ndio unaziona sasa, tulia unyolewe vizuri.Kweli mkuu. Mimi ni CCM ila hizi siasa za Magufuli sijawahi kuona....
Unataka kumtisha nani na hicho kizungu cha ugoko?...You're human being with pig brain!...
Yaani unaikubali CCM hivi hivi? Duh.Mradi wa Kikwete huo...
Hakuna biashara hiyo mkuu, yaani wale jamaa walikuwa wanapiga pesa sio mchezo, boza moja 15,000/- leo hii tunauziwa 1,650/- acha kabisa.Nimeishi kibamba miaka 3. Aisee wale jamaa wenye magari ya kuuza maji ndo biashara imekufa amaa. Figisu haziwezi kukosekana hapo kimbamba. Maji yalikuwa yanatoka jumapili na juma5 kabla jpm hajaingia. Hilo tank ni kubwa sana. Ukipanga juu ya hilo tank dar yoote na kibaha unaiona
Kwa hiyo mnatembea mkiwa empty heads na ndo maana mnaona tangi la Lita milioni 10 tena kwa msaada wa WB nalo ni Jambo kubwa sana
Ndo kafanya sasa ktk miaka hiyo kumi kwani tatizo liko wapi?yuko bungeni kwa miaka kumi sasa alikuwa wapi kufanya mpaka afanye sasa?
Yaani kuishi na watu wenye akili za nguruwe ni shida sana, bora kuishi na nguruwe wenye akili za watu mambo yataeleweka.
Sasa serikali kujenga tank LA maji imekuwa "kishindo cha awamu ya 5" pia? Mlitaka Magu akafanye kazi gani Magogoni pamoja na malipo mazuri tunayomlipa, matunzo ya haki ya juu, ulinzi mkali na kuheshimika?
Au MATAGA mlidhani 2015 tulichagua mtu kwenda pale ili kulala chumbani na first L na kufyatua watoto tuu?
Mkuu hawa watu ndio maana nimetoa mfano wa nguruwe! Na kama wanabisha waje niwape ufafanuzi.
Kujenga tenki la maji.hahahaaa mataga banaa.
Chakaza atajulia wapi kizungu wakati ni ugoko mtupu? Kizungu hiki hapa bwana!Unataka kumtisha nani na hicho kizungu cha ugoko?
Nani ananyolewa? Unadhani mimi naishi kwa buku saba kama wewe?Ndio unaziona sasa, tulia unyolewe vizuri.
Wewe unamiliki hata chupa ya maji ya Kilimanjaro? Kaiweke Chadema tv basi.Tank la kuhifadhia maji tena lita milioni 10 nalo mnaweka kwenye kishindo cha awamu ya tano?
Pesa zinatolewa na serikali kwa usimamizi wa Bunge kwa masharti ya Finance Bill ya mwaka husika.Bila Magufuli kutoa pesa hilo tank ligejengwa?
Hill ni jukumu la serikali kijenga miundombinu kutokana na kodi zetu, hatulipi kodi ili ziwekwe benki. Tulilipa kodi wakati wa mkoloni na akajenga reli akaweka meli ziwa Tanganyika na Victoria, huo ilikuwa wajibu wa serikali na si hisani. Ninalipa kodi ya Rea ili wanavijiji wapate umeme, sifa zinifikie mimi na si serikali.
Kamanda mbona hasira tena, vipi?Nani ananyolewa? Unadhani mimi naishi kwa buku saba kama wewe?
Dogo umeajiriwa kuja kusifia UHARO mitandaoni.
KAZI YAKO NI NGUMU TENA NI YA KISHETANI. YAANI UNAGEUZA UONGO KUWA UKWELI!!!!
Chakaza atajulia wapi kizungu wakati ni ugoko mtupu? Kizungu hiki hapa bwana!
Kwa hiyo?Hilo Jimbo mbunge wake ni Bwana John Mnyika wa CHADEMA
Pesa zetu walipakodi magufuli hanapesa.Bila Magufuli kutoa pesa hilo tank lingejengwa?