Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Ameweka Magufuli kwa hela zake za mfukoni au kodi za wananchi.

Msiwe wa.pumbavu kusifia hata ujinga.

Hizo ni kodi za wananchi. Wana haki ya kuletewa maendeleo!
kodi za wananchi zimeonekana kufanya kazi ya wananchi katika awamu hii..
 
Ni kweli mkuu Kama tank la maji lenye uwezo wa kutunza Lita milioni 10 nalo linaonekana ni Jambo la ajabu sana basi acha nilale tu maana hakuna namna.nchi imeshatamalaki upoyoyo
2015 tanki lilikuwepo??
 
hii ni kibamba tu..sijaongelea maeneo mengine kama Kule Kikwe Arusha
 
Hii ni sawasawa na mwalim kumpa assignment afu akifanya mwalim msifie sana huyo mtoto bila kujali kua amepata au amekosa.
 
Maccm wengi humu hawajawahi kutoka nje ya Tanzania ndiyo maana wanawehuka kwa kusifia.
Kuna wamarekani hawajawahi kutoka nje ya Marekani.
Kuna waingereza hawajawahi kutoka nje ya uingereza...
ni udandara kudhani ukienda nje ya Tanzania ndio unakuwa mjanja
 
Kuna wamarekani hawajawahi kutoka nje ya Marekani.
Kuna waingereza hawajawahi kutoka nje ya uingereza...
ni udandara kudhani ukienda nje ya Tanzania ndio unakuwa mjanja
Mkuu hata wewe ukitoka nje ya nchi hii na ukakaa huko for at least 2 months hutarudi ukiwa hivi ulivyo.you will be a different personal.Kutembea kunakupa nafasi ya kusoma na kujifunza through informal education ili kushape Ile formal education uliyoipata
 
Hapa kimara mavurunza maji hayatoki wiki 3 sasa hadi natamani jirudi tena chadema.Wauza maji wameshaanza kero zao. Meneja DAWASA kimara hana habari.
 
Kwa hiyo ulivyomjinga huoni Miradi ya maendeleo iliyopekekwa vijijini?
Hiyo milioni 50 kila kijiji haikusemwa itakuwamo ndani ya miradi ya maendeleo ya kila kijiji. Mwisho hata maji tutaambiwa yamo kwenye ujenzi wa barabara
 
Kwa kawaida binadamu anatakiwa atumie lita200 kwa siku, hivyo hilo ni watu 50,000 tu kwa siku, Je wataweza kuhakikisha maji yanaingia muda wote, ili yakikatika liweze hudumu hao watu kama dhalura?

maendeleo yana vyama
 
Back
Top Bottom