Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Ulitaka tuweke mzinga wa konyagi?
Ulitaka tuweke mzinga wa konyagi?
Kajenga kwa hela yake?Hapo nimnyika ndo kila kitu
Kwa hiyo ulivyomjinga huoni Miradi ya maendeleo iliyopekekwa vijijini?Hata milioni 50 kila kijiji ipo kwenye ilani pia
yuko bungeni kwa miaka kumi sasa alikuwa wapi kufanya mpaka afanye sasa?Kwani sio mbunge huyo mnyika aliefanya mpango huo.. au ndo kila kitu magu🚶♂️
Fly over na Mradi huu ni plan za Kikwete na hata fedha zilitafutwa na yeye..mimi siasa huwa ni ngumu kuelewa hata kama alifanya mwenzako basi utajisfia wewe..
Na alifanya kuizindua akiwa ndiyo anaingia ikulu. Ila JK alisema kabisa kuwa "Haya nayafanya mimi nayaacha ila sifa atapewa mwingine"Juzi Bungeni Mhe akasema wamejenga Daraja la Kigamboni na Terminal 3 nikashangaa wakati miradi yote inaanza akiwa Waziri
K.enge maji wewe. Umewahi kufika Botswana?
Ila ni kweli kumsifia hawara yake kuwa kamaliza Corona badala ya kuwasifia madaktari huo nao ni ujasiri ambao viongozi wengi Africa hawawezi kufanya.
Mradi wa Kikwete huo aliombwa na Mnyika kama hujui kaa kimya. Mnyika aliunda timu maalum wakaenda kwa JK. Uzuri ni kuwa JK alipofanya ziara eneo la Ubungo enzi hizo alimsikiliza Mnyika na walalamikaji wengine.Mnyika atajidai eti yeye ndio aliyekamilisha huo mradi.
Maccm wengi humu hawajawahi kutoka nje ya Tanzania ndiyo maana wanawehuka kwa kusifia.K.enge maji wewe. Umewahi kufika Botswana?
Ila ni kweli kumsifia hawara yake kuwa kamaliza Corona badala ya kuwasifia madaktari huo nao ni ujasiri ambao viongozi wengi Africa hawawezi kufanya.
Ulitaka tuweke mzinga wa konyagi?
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore
Kwani ni nani sasa hilo ni jimbo lake yeye ndo kafanikishaMnyika atajidai eti yeye ndio aliyekamilisha huo mradi.
Kwa hiyo mnatembea mkiwa empty heads na ndo maana mnaona tangi la Lita milioni 10 tena kwa msaada wa WB nalo ni Jambo kubwa sana[emoji3][emoji3][emoji3]akili zetu tumezikabidhi kwa Dj wa ufipa
Kujenga tenki la maji.hahahaaa mataga banaa.Magufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa
Yaani kuishi na watu wenye akili za nguruwe ni shida sana, bora kuishi na nguruwe wenye akili za watu mambo yataeleweka.Tank la kuhifadhia maji tena lita milioni 10 nalo mnaweka kwenye kishindo cha awamu ya tano?
Kweli mkuu. Mimi ni CCM ila hizi siasa za Magufuli sijawahi kuona.Maccm wengi humu hawajawahi kutoka nje ya Tanzania ndiyo maana wanawehuka kwa kusifia.
Nani bwana mdogo. Mimi ninaweza kuwa ni mmoja wa mabosi zako. Sema id zinaficha mengi.Acha papara bwana mdogo
Ha ha ha.Kwani ni nani sasa hilo ni jimbo lake yeye ndo kafanikisha
Hivi Mnyika ni Engineer wa Wizara ya maji?Mnyika atajidai eti yeye ndio aliyekamilisha huo mradi.