Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

Nimeishi kibamba miaka 3. Aisee wale jamaa wenye magari ya kuuza maji ndo biashara imekufa amaa. Figisu haziwezi kukosekana hapo kimbamba. Maji yalikuwa yanatoka jumapili na juma5 kabla jpm hajaingia. Hilo tank ni kubwa sana. Ukipanga juu ya hilo tank dar yoote na kibaha unaiona
 
Ni habari kwa Great thinkers pekee
Wewe ni Great thinker ...!?

Ni nini wewe umegundua kipya mkuu cha kusaidia watu kuanzia walau 100..!?

Au ni kuleta habari kama hii ambayo tutaisoma kisha itapita kama upepo isitusaidie neno lolote...!?
Huo ndio ugreater thinker mkuu au...!?

Kuwa serious mkuu,
Ukijitazama kwenye kioo unajiona chui kumbe nyauuuuuuu....!!
 
Magufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore
 
Pitia thread zangu ulibip ukapigiwa sasa unaanza kujitambua!
 
Wewe kula ulale mambo haya yapo juu ya uwezo wako
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore
 
Watu mmeweka wapi akili zenu?Dar Sasa hivi ndo inakaribia kuwa na watu milioni 6 mwaka 2020.pop ikiongezeka Kuna mwingine atajenga kubwa zaidi.sasa kwa kuwa akili mmemkabidhi Magufuli you can't think anymore
Tunachoshuhudia hapa ni matumizi bora ya fedha za walipa kodi hasa katika miaka mitano ya JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…