Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Nakubaliana na wewe mkuu, watanzania wengi iq ni ndogo sana, ni chini ya 40 na hata walioenda shule wengi wameenda kukariri, hakuna ufahamu kabisa.
Hili ni tatizo kubwa ndani ya nchi yetu...

Kila nikiangalia hiki kitabu kina mang'amung'am mengi sana, ila asilimia 89% tume base kwenye ushabiki badala kuhoji mambo..
 
Kama alikuwa na uwezo wa kugharamia matibabu binafsi kibali cha kutoka nje ya nchi kilihitajika kwa minajili gani?

Mbona mimi nilikuwa nasafiri nje ya nchi bila kuomba kibali toka kwa yeyote yule. Sembuse Rais Mkapa na connections zote alizonazo?

Make it make sense.
 
Mara paap mwisho wa mwaka upepo unabadilika, anaingia mwingine Giningi, huyo ni pro Jiwe, mara ka flag anasema hicho kitabu alishinikizwa kuandika na mtu flani..

Kumbe naota tu, ngoja nivute shuka nilale, huu mwaka una ndoto za ajabu
 
Inasikitisha sana
 
Kamuulize Magufuli pale kaburini Chato alikuwa anataka vibali vya nini na hela hatoi yeye
 
Nadhani kabendera ame target wateja na hadhira yenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupembua mambo.

Mythology aliyoitumia amefanikiwa sana, hasa humu jamiiforums ambamo panajulikana kama "The home of great thinkers".

Huwezi kuorodhesha mythical premises kama hizo zisizo na clear justifications halafu Kuna watu wana consume bila kujiuliza.

Kwamba Mo Dewji alitekwa Ili wakatoe pesa benki na maafisa wa serikali ya Magufuli? 🤣🤣🤣

Kwa taarifa yenu tu! Serikali inaweza kuchukua au ku freeze account yoyote ya pesa bila hata kumhitaji mhusika kwa kumteka.

Tumieni akili, simtetei Magufuli lakini pia siwezi kudanganywa kirahisi namna hii kwa sababu najua ninachokisema.

Hiki kitabu hakina tofauti na Ile "Takataka" Fulani ya bwana yericko.

Wataalamu wa mambo najua mnanielewa.
 
Unajiona smaart kumbe...
 
Sem naamini aliyevujisha hii siri hatuko naye, walishamalizana naye.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…