Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.