Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Mara paap mwisho wa mwaka upepo unabadilika, anaingia mwingine Giningi, huyo ni pro Jiwe, mara ka flag anasema hicho kitabu alishinikizwa kuandika na mtu flani..

Kumbe naota tu, ngoja nivute shuka nilale, huu mwaka una ndoto za ajabu
Uliwazalo mkuu huenda litakutokea
 

Mkapa hakuwa na uwezo wa kwenda SA mwenyewe? Hizi story zingine za kijinga sana.
 

Hizi story zimekaa kitoto toto sana natilia shaka utimamu wa akili ya mwandishi.
 
Dr Abbas aliwapigia Mwananchi media kufuta video ya interview ya mama yake KabenderaMwananchi walizuiwa kuchapisha hiyo story kwenye magazeti yaoWaandishi wa habari wengi sana wamewahi pigiwa simu za vitisho na Dr AbbasKwa sasa Dr Abbas bado ni katibu Mkuu kwenye hii serikali ya Samia, huyu ni mtu amefanya mambo ya ajabu sana ndani ya utawala wa MagufuliWahandishi wa Habari mliotishwa na Dr Abbas kwa nini bado mko kimya?Dr Abbas aligeuka kama mhariri wa magazeti yote nchini kwa kutumia simu β€’ β€’ β€’ IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
 
Yericko Nyerere
 
Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa muleπŸ˜‚
kwa hili la kununua vitabu na kusoma hata kikiwa kimeandikwa na nani, mjinga ni wewe usiyependa kusoma.
 
Exactly!

Hata mimi wala simtetei Magufuli.

Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yake haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
 
Sahihi kabisa !
 
Kamuulize Magufuli pale kaburini Chato alikuwa anataka vibali vya nini na hela hatoi yeye
Watu binafsi nao walikuwa wanaomba vibali toka kwa Magufuli ili wasafiri kwenda nje ya nchi?

Mbona mimi na watu wangu tulikuwa tunasafiri bila rukhsa yotote ile toka kwa Magufuli..

Huu ni ujinga tu sasa.

Kaeni mtunge vizuri stori zenu.
 
 
Tulimpenda mwamba. Good. Je, Mo alitekwa au hapana ? Kama alitekwa na yupo hai, yuko tayari kukanusha ukwapuaji wa fedha zake ?
 
Exactly!

Hata mimi wala simtetei Magufuli.

Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yako haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
Hata Mimi ambacho nahitaji ni hicho mkuu. Huwa ninalinda sana akili yangu kuchezewa kirahisi kwa stori zisizo na maana kama hizi.

Hali inavyosimuliwa utadhani ni documentary ya Adolph Hitler au Benito Mussolini.
Ni miaka michache tu nyuma hapa tulikuwepo sote hata kwenye utumishishi na hatujayaona haya yanayosemwa na mwandishi.

Nashangaa wanaoaminishwa hizi Takataka Wana akili timamu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…