ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Duh 🙄 !Nyie wagumba, matasa na mahanithi msiozaa huwa mna shida sana. Sasa lengo la kusema na kusisitiza ana watoto 27 ni nini?😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 🙄 !Nyie wagumba, matasa na mahanithi msiozaa huwa mna shida sana. Sasa lengo la kusema na kusisitiza ana watoto 27 ni nini?😀😀😀
Uliwazalo mkuu huenda litakutokeaMara paap mwisho wa mwaka upepo unabadilika, anaingia mwingine Giningi, huyo ni pro Jiwe, mara ka flag anasema hicho kitabu alishinikizwa kuandika na mtu flani..
Kumbe naota tu, ngoja nivute shuka nilale, huu mwaka una ndoto za ajabu
Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Yapo manyumbu mengi tu, hii inadhihirisha jinsi Gani baadhi( wengi) ya watanzania akili ndogo sana.Kuna watu wataamini
jitulize usije ukaibika bure!Usome kingereza unajua?
Yericko NyerereWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
kwa hili la kununua vitabu na kusoma hata kikiwa kimeandikwa na nani, mjinga ni wewe usiyependa kusoma.Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂
nina uhuru wakujibu nitakavyo! sio mtihani huo mpk nijibu ndio au hapana!.Hili ndo jibu la swali?
Exactly!Nadhani kabendera ame target wateja na hadhira yenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupembua mambo.
Mythology aliyoitumia amefanikiwa sana, hasa humu jamiiforums ambamo panajulikana kama "The home of great thinkers".
Huwezi kuorodhesha mythical premises kama hizo zisizo na clear justifications halafu Kuna watu wana consume bila kujiuliza.
Kwamba Mo Dewji alitekwa Ili wakatoe pesa benki na maafisa wa serikali ya Magufuli? 🤣🤣🤣
Kwa taarifa yenu tu! Serikali inaweza kuchukua au ku freeze account yoyote ya pesa bila hata kumhitaji mhusika kwa kumteka.
Tumieni akili, simtetei Magufuli lakini pia siwezi kudanganywa kirahisi namna hii kwa sababu najua ninachokisema.
Hiki kitabu hakina tofauti na Ile "Takataka" Fulani ya bwana yericko.
Wataalamu wa mambo najua mnanielewa.
Sahihi kabisa !Kuna kitu kinaitwa burden of proof, hii ni kanuni kwenye sheria inayotaka anaetoa tuhuma kuthibitisha hizo tuhuma na sio anaetuhumiwa.
Sasa wewe umeibua tuhuma zako huko unatakiwa ulete na ushahidi pia wa kuthibitisha hizo tuhuma ulizoziibua na sio wajibu wa unaemtuhumu. Anaetuhumiwa sio lazima ajitokeze kukana, hata akinyamaza tu ni ishara kwamba amekataa na kukana hizo tuhuma, sasa wewe unatakiwa ulete ushahidi kuthibitisha zaidi ili mtuhumiwa aonekane anakataa tu bila sababu.
Tuhuma zisizo na ushahidi ni uzushi na umbea tu kama umbea mwingine.
Watu binafsi nao walikuwa wanaomba vibali toka kwa Magufuli ili wasafiri kwenda nje ya nchi?Kamuulize Magufuli pale kaburini Chato alikuwa anataka vibali vya nini na hela hatoi yeye
PDF bure ?hebu leteni pdf ya hicho kitabu tusome na wengine
Dr Abbas aliwapigia Mwananchi media kufuta video ya interview ya mama yake KabenderaMwananchi walizuiwa kuchapisha hiyo story kwenye magazeti yaoWaandishi wa habari wengi sana wamewahi pigiwa simu za vitisho na Dr AbbasKwa sasa Dr Abbas bado ni katibu Mkuu kwenye hii serikali ya Samia, huyu ni mtu amefanya mambo ya ajabu sana ndani ya utawala wa MagufuliWahandishi wa Habari mliotishwa na Dr Abbas kwa nini bado mko kimya?Dr Abbas aligeuka kama mhariri wa magazeti yote nchini kwa kutumia simu • • • IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Tulimpenda mwamba. Good. Je, Mo alitekwa au hapana ? Kama alitekwa na yupo hai, yuko tayari kukanusha ukwapuaji wa fedha zake ?Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!
Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Hata Mimi ambacho nahitaji ni hicho mkuu. Huwa ninalinda sana akili yangu kuchezewa kirahisi kwa stori zisizo na maana kama hizi.Exactly!
Hata mimi wala simtetei Magufuli.
Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yako haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.