Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Mbona hata Historia ya ZANZIBAR imepotoshwa tena kwa kiwango kikubwa lakini hili hulisemi. Dunia inafahamu kwamba kiongozi wa mapinduzi "MATUKUFU" ya ZNZ alikuwa Fidel Marsha John Okello. Lakini historia ya ZNZ imepindishwa na kiongozi wa mapinduzi kupewa mtu mwingine kabisa ambaye hakushika hata fimbo, achilia mbali kuwepo siku ya mapinduzi hayo yanafanyika. Au kwa kuwa kiongozi wa mapinduzi hayo alikuwa Kafir ndiyo maana ni sahihi kabisa kupindisha huo ukweli. Kama serikali iliwaundia BAKWATA waislamu, mbona leo tena baada ya miaka 50, bado waislamu wa Tanganyika mnalilia kuundiwa tena chombo kingine na serikali aka MAHAKAMA YA KADHI?! Hivi nyinyi waislamu mnataka nini hasa? BTW, hivi hiyo dini ya "Mwenyezi Mungu" huwa haiwezi to co-exist with other religion/believes? Hata kama ZNZ ina waislamu 99% what is wrong with Watanganyika Wakiristu kwenda Zanzibar wamevaa misalaba, according to imani yao?. Kama mind set za waumini wa dini hii ya "Mwenyezi Mungu" ndiyo hizo no wonder hii dini iko in conflicts with all religion/believes of this world. Islam v. Christian (Nigeria) Islam v Jews (Israel/Palestine), Islam v Hindu (India) Islam v. Budha (Thailand), Islam v Animist (Sudan) you mention them. Lakini uki substitute Islam with other religion you will never get that scenario.
 
Umesema wewe ni mmanyema lakini wazee wako hawatoki kgm wanatoka wapi?funguka upate kuwa huru kama ni KALEMI tujue.
 
Kwa hiyo wewe unataka Tanganyika nayo iwe nchi ya Kiislamu? Una hofu gani na Ukristu?

Amandla.....

Jee, ruksa ni William Lukuvi tu, Mtanganyika, kuwa na hofu kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam?

Naona maswali umeyapiga chenga. Hahaha, Jee, umeshikwa na hofu?
 
Kuhusu Nyerere hata usiseme...ana heri tena xan,kuwa na her hakuhusian na udini wala serikali ya kidini..uliza maana ya kuwa na her halafu ndo ucomment,leo unataka kusema Baba wa Taifa hakuna alichokifanya!? Ongeen mambo mengine mwachen mzee wa watu apumzike kwa amani@foxy
 

Kwa maneno tu? Tupe ilmu ya hizo heri za Nyerere. Kuwa baba pekee hakumfanyi kuwa na heri, kuna mababa kibao hawana heri hata chembe. Huyajui?

Ops! Kuwa "mwenye heri" kunatolewa na nani vile.
 

Zanzibar in Tanzania has got more hold of Muslims. Almost 99 percent of the population there are Muslims. Clashes and tensions between Christianity and Muslim culture are always there.

The percentage of Muslims in Tanzania is about 35% and on the island of Zanzibar even 95% of the population is Muslim. The first mosque was built in 1107 and currently the island has about fifty mosques.


The people of Zanzibar are predominantly Muslim, about 95% of the population being followers of Islam. The remaining percentage is a mix of Christians, Hindus and followers of various other religions.

Jichagulie mwenyewe unachotaka kuamini.

Amandla.......
 
Wasichokijua wana-UKAWA wengi ni kuwa Prof Lipumba ni muumini mzuri wa MAANDIKO na FIKRA "sahihi" za Mohamed Said. Nje ya duru za Bunge mtekelezaji wa sera hizi za Mzee Mohamed ni Sheikh anayeozea kwenye magereza ya mfumo kristo, Ponda Issa.

Mbowe na Mbatia wana machungu mengine yatakayokuja kubainika TANGANYIKA itakaporudi. Mungu wetu sote asiye na DINI wala KABILA apishilie mbali hili au litokee tukishaondoka duniani baadhi yetu.
 
William Lukuvi ana "hofu" kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam. Jee, wewe huna hiyo "hofu"?

Nilipoma katiba ya JMT mara ya mwisho niliona kwamba JMT is a secular country! Hivi ibara hiyo ya katiba ilisha badilishwa?!. Hofu ambayo Wakiristu wanaweza kuwa nayo kama ZNZ itakua Islamic country ni kuchomewa makanisa na shule zao kama kawaida ya waislamu wengine duniani kote wafanyavyo Boko haram na Al Shabaab.
 
Jee, ruksa ni William Lukuvi tu, Mtanganyika, kuwa na hofu kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam?

Naona maswali umeyapiga chenga. Hahaha, Jee, umeshikwa na hofu?

Hautaki majibu yasiyokupendeza. Niliishakuambia kuwa mimi Uislamu haunitishi. Haunitii hofu.

Sasa, wewe, jee unataka serikali ya Muungano ya Tanzania iwe ya Kiislamu? Au kwa maneno mengine, Sharia ndio ituongoze?

Amandla........
 
Kwa maneno tu? Tupe ilmu ya hizo heri za Nyerere. Kuwa baba pekee hakumfanyi kuwa na heri, kuna mababa kibao hawana heri hata chembe. Huyajui?

Ops! Kuwa "mwenye heri" kunatolewa na nani vile.

Mchakato unaendelea. Wakatoliki wenzake wanazihangaikia hizo heri. Zikikosekana au hata zikipatikana zikapingwa na mtu kama wewe Faiza, Mwalimu hatatangazwa kuwa mwenyeheri na wewe na wa aina yako mtafurahi kabisa ingawa mnayo DINI yenu na mambo yenu.
 
Kwa maneno tu? Tupe ilmu ya hizo heri za Nyerere. Kuwa baba pekee hakumfanyi kuwa na heri, kuna mababa kibao hawana heri hata chembe. Huyajui?

Ops! Kuwa "mwenye heri" kunatolewa na nani vile.

Hiyo Heri si wanampa wakatoliki wenzake? Kwa nini wa-justify kwako usie wa imani yao? Wewe inakuuma nini? Haulazimiki kumuita "mwenye heri" kama hautaki.

Punguza kulalamika lalamika ovyo. Haipendezi.

Amandla....
 

Aamin.
 
Last edited by a moderator:
The bottom line ni kwanini historia yao imepotezwa? Kwanini michango yao haienziwi? Kwanini tusikubaliane na Lisu kuwa Nchi hii imejengwa katika misingi ya Uwongo?...Jipange uje upya Mkuu...

Nchi hii hakuna ubishi imejengwa juu ya uongo.Tufikiri kidogo.Hivi kwann kila jambo rejea ni kwa Nyerere?(sisemi asirejewe kabisa).Hivi ina maana watu kama Kawawa na wengine waliokua pamoja nao hawana lolote la kurejewa?Ukweli ni ukweli tu hata ufichwe kiasi gani utakuja kujulikana.Leo mdini Lukuvi anaweka wazi rangi yake ya udini na vhuki yake dhidi ya Uislam na Waislam.Tulipokua tunaandika kwamba kanisa lina mkono ktk uendeshaji wa nchi hii,wengi walitusema ooh sisis wadini,tunataka kuvuruga amani ya nchi na mengine mengi dhidi yetu.Leo mdini amejulikana na kasema wazi "tunataka kuwadhibiti Waislam"Lakini kosa letu ni nini au ni kua Waislam??
 

Hata inaonekana muda wa kuchambua mambo huna bali una muda wa kutema yalio moyoni mwako. Wapi mzee MS kasema kuwa mtanganyika kwenda ZNZ na msalaba ni haramu au kosa? Mzee wetu anajaribu kuonyesha unafiki wa viongozi wa Tanganyika hasa pale walipouficha ukristo wao na kujifanza wazalendo tena wengine kama mwalimu Nyerere enzi hizo alikuwa akienda Zanzibar huku amevaa Baraghashia lakini baada ya wanalilitaka kutimia sasa hawaoni tena shida ya kuvaa hata misalaba au kwenda Znz na miniskert huku wakijua kule ustaarabu wao haupo hivyo. Kupotoshwa kwa historia ya ZANZIBAR mbona mzee MS na waandishi wengine wameeleza? Huyo OKELLO unayemsema wewe ukisoma kitabu cha Dr. HAARITHY GHASSARY ameelezea vizuri. Kamati ya mapinduzi iliyoangozwa na watu 14 akiwemo Karume, Abdurhaman Babu n.k lakini wote hao wakiulizwa walitoa mchango gani katika mapinduzi hawa majibu haya yote yameelezwa shida ipo wapi? Ikimaanisha kuwa ushiriki wao ulikuwa wa kupachikwa tu ili iyonekane WZNZ wenyewe ndio walioshiriki katika mapinduzi.
 
Bobuk,

Bado TANZANIA yetu haina DINI wala KABILA kama alivyo Mungu wetu sote. Baadhi yetu wameji-legitimize kwa DINI zao. Ni taabu kuwaondoa watu hawa kwenye dini hizo. Utambulisho na uhalali wao ni hizo dini zao. Mbaya zaidi wameandika hivo. Wanao wafuasi pia. Watu hawa ukiwauliza kwa nini makanisa yachomwe, kwa Mapadre wauwawe, wajeruhiwe, watakwambia wanataka kuwa martyr wa DINI zao!
 

Kwani ni nani aliyemteua Lukuvi na ni nani mwenye uwezo wa kumwondoa!
 

Tatizo la watu wengi ni kumtafsiri mtoa hoja sio kutafsiri hoja. Ukiangalia mitazamo ya watu kuhusu mada za mzee MS mara nyingi wanamtazama yeye sio kutazama alicho andika.
Ndio maana anapo leta hoja hapa mfano hoja ya Jkn watu wengi hawajadili hoja hiyo badala yake wanamjadili mleta hoja MS.
Lakini hoja hiyohiyo akileta Tundu Lisu watu wengi hujadili hoja na kumpongeza mleta hoja.Hili ni tatizo na linatupeleka pabaya najiuliza leo hii Benki kuu iunguwe moto kama ilivyo unguwa moto wakati ulee itakuwaje.
 

"Hivi sasa hisia za Uislam katika nchi yetu zinafukuta chini kwa chini na ndiyo maana tumekuwa na mauaji ya Mwembechai, Picha ya Ndege, na Kilindi na vijiji vya pembezoni mwake hivi karibuni na majuma mawili yalopita tu Waislam wamingiliwa msikitini (staili ya Mwembechai) na kupigwa na polisi. Kesi za masheikh zimekuwa maarufu Zanzibar na Tanganyika."
 

Unajidanganya ndugu yangu.Ungetumia muda mrefu kumkemea mdini Lukuvi ningekuelewa.Na ungekua mkweli basi ungewaambia wasomaji kile eanachokifanya Wakristu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati(C.A.R)Wale si wanatumia mtutu kulinda dini yao.Sielewi Wakristu wa Tanzania wamelishwa sumu gani kuwachkia hivi Waislam.Kwa kweli ni lazima hapa kuna jambo zito.Kulinda kile unachokiamini si suala la kua Muislam bali kila anayeamini kua imani yake inachezewa kwa namna isiyovumilika basi jambo la mwisho kulifanya ni kulinda na kutetea kile anachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…