Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia?

Nani alitegemea haya kutokea?

Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo?

Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa yote kwa miaka mingi tu ijayo!

Pia soma:
Waarabu endeleen kuweka tumaini la kiulinzi la nchi zenu kwa Russia

Na ndiyo maana, Ukraine, licha ya kipigo kutoka kwa Russia, bado msimamo wake ni uleule, wa kuendelea kuamini NATO inaweza kumlinda na siyo huyo Putin!
 
unafikiri ni huyo tu hata mmarekani nae anaweza kuvamiwa vizuri tu, those so called super powers countries they are not perfect in everything!.
Lakini pia kumbuka vita ni akili unapoona umerahisishiwa ushindi mara nyengine amka mapema kabla ngumi ya utosi haijakufikia!
 
Sio wanasema ni kiroboto anachezea k3nd3 za a sleeping giant? Kwamba mwasho ukizidi likinyanyuka kiroboto masalia yake hayataonekana milele? Let's wait!
 
Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.

Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.

Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
 
unafikiri ni huyo tu hata mmarekani nae anaweza kuvamiwa vizuri tu, those so called super powers countries they are not perfect in everything!.
Lakini pia kumbuka vita ni akili unapoona umerahisishiwa ushindi mara nyengine amka mapema kabla ngumi ya utosi haijakufikia!
Thubutuuu ambia hezubulaa wakakalie NY uone
 
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia?

Nani alitegemea haya kutokea?

Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo?

Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa yote kwa miaka mingi tu ijayo!

Pia soma:
Waarabu endeleen kuweka tumaini la kiulinzi la nchi zenu kwa Russia

Na ndiyo maana, Ukraine, licha ya kipigo kutoka kwa Russia, bado msimamo wake ni uleule, wa kuendelea kuamini NATO inaweza kumlinda na siyo huyo Putin!
Putin Bana anajiandaa kwenda uhamishoni noth Korea bila shaka
 
Kila siku ninawaambia Super Power ilikuwa ni ile USSR ya akina Joseph Stalin, Nikita Khrushchev, Leonid Brezhnev, Yuri Andropov, Constantino Chernenko na Michail Gorbachev.

Hii ya dictator Vladmir Putin ni bonge la joka 🐲 la kibisa na kamwe hataweza kuishinda Ukraine na mwakani ndio uchumi wake unasambaratika kabisa baada ya mabenki ya China kushituka kufanya nao miamala.
 
Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.

Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.

Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
Heshima kwako Mkuu! Kumbe Ukraine ndo Krene ya kwenye vitabu vitakati
 
Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.

Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.

Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
Halafu Ukraine kapeleka vikosi vyenye nguvu huko kursk ,huku kwingine mrusi anasonga mbele kilaini hapati shida sana kwa sasa,,vita ni mahesabu
 
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia?

Nani alitegemea haya kutokea?

Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo?

Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa yote kwa miaka mingi tu ijayo!

Pia soma:
Waarabu endeleen kuweka tumaini la kiulinzi la nchi zenu kwa Russia

Na ndiyo maana, Ukraine, licha ya kipigo kutoka kwa Russia, bado msimamo wake ni uleule, wa kuendelea kuamini NATO inaweza kumlinda na siyo huyo Putin!
Urusi ni Drc ya Ulaya...
 
Back
Top Bottom