Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

.. Wengi hatumjui rais ajaye Ila miongoni mwao wanajua mda mrefu. Pia depo yao ile ya Siri pale ba... Sio mchezo! Pale ndo wanatoka PSU kwa ajili ya ulinzi wa viongozi, snipers wa kazi maalumu na wale wasiojul.
Yaani wewe hapa sasa umenikatisha tamaa kabisa. Maana nilikuwa na mpango wa kuchukua fomu ya kugombea mwaka huu, lakini kwa namna ulivyoandika hapa, umenipa uhakika kabisa kuwa siwezi kuwa mimi. Nimeahirisha kuchukua fomu, lakini pia nashukuru kwamba umenisaidia ku-save hiyo Shillingi million moja ya kuchukulia fomu!
 
Sasa mambo yaliyopo kiitifaki na kisheria mbona hayana ubishani kabisa yako wazi.
Haijalishi majukumu yako itifaki Inakutambua kwamuji wa seniority.
CDF then IGP then TISS
hiyo iko hivyo hata ubishane Vipi haibadiliki hata uwe na majukumu makubwa na Mazito Vipi itifaki haibadiliki inabaki Kama ilivyo.
Labda sheria iliyokuanzisha na inayotaka uwe chini kimamlaka ya mwingine ibadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

sasa ndo naelewa kwanini zamani maboss wa tiss walikuwa wanatoka tpdf kama kina imrani kitine na wengineo
 
Pasco ametoa mfano mdogo, magufuli akienda Zanzibar kwenye sherehe itifaki inakuaje? Shein huwa wa kwanza kuingia uwanjani then magufuli ina maana Shein ni mkubwa kicheo kuliko magufuli? Majukumu ya Tiss ni Siri hata rais anafanyiwa vetting na wao ndio maan inaitwa taasisi nyeti, bajeti yake haijadiliki, watu wake hawajulikani na usishangae IGP na CDF kua ni wana TISS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha bro ni ukweli mchungu... Pasco aliwahi kuandika hapa mwaka 2014 kuhusu rais ajaye 2015... Muulize alitoa wapi source?? From no where huwez kupewa nchi... Wapo wanaotoa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Kt jamaa angu

Matani tu mkuu.. Hata mm nlgoma hii kazi mkuu [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe mfano wa izo nchi nyingine ambayo kazi za Idara za kijasusi ziko chini ya jeshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sujui tukuelezaje uelewe, TISS inatambulika kama idara lakini ni "dubwana" kubwa sana Diwani kabla hajawa DGIS alikua huko polisi nani alifahamu? Kipilimba alikua BOT nani alifahamu ni Tiss? Imran kombe alitoka jeshini, kitine alitoka jeshini... Huwez kua TISS member bila kupita kule kwenye shule zao.... Wao wanakupangia sehemu ya kwenda kufanya kazi kulingana na mahitaji yao, unaweza kwenda jeshini, bungeni kama akina membe, polisi, boda boda nk. Pia unaweza kua hata mkuu wa jeshi. Usifuate sana itifaki na sheria kuangalia muundo wa TISS kwani ni very complicated kuung'amua. Wanasema idara ipo chini ya waziri wa utawala bora ukienda kwenye idara za utawala bora huwaoni.

Kwao wao rais ni "sponsor" ndiye mlaji mkuu wa taarifa zao. Wanashauri nani awe nani, na nani akae wapi!! Kiufupi wao ndo Wana control serikali ikiwemo na kuhakikisha usalama ni wa uhakika. Kwa majukumu hayo DGIS anaweza kua sawa IGP? Tumieni ubongo kidogo

Pili TISS wanahusika na mambo ya nje,( kurugenzi ya mambo ya nje) wana watu wanaokusanya taarifa,kuzichambua na kuchukua hatua kwa masuala ya kimataifa, hapo kwenye kuchukua hatua wanavaa koti la ubalozi, uwaziri nk... Huwezi kuwajua tu kwa macho... Wote hawa wanaripot kwa DGIS, unapata picha ya ukubwa wa huyo bwana? Braza kaka yangu ni OCS kituo Fulani hp temeke hata nilivyomuambia kuhusu huu mjadala kaishia kucheka... IGP ana deal na polisi tu, polisi wanaopewa oda hata na mwenyekiti wa mkoa wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha bro ni ukweli mchungu... Pasco aliwahi kuandika hapa mwaka 2014 kuhusu rais ajaye 2015... Muulize alitoa wapi source?? From no where huwez kupewa nchi... Wapo wanaotoa...
Kwa hili la Rais nakataa Pascal Mayalla hakupatia km upo uzi weka au aweke hapa
Nakumbuka Pasco alikuwa kwa Mamvi
mpaka Jamaa anaongea na Waandishi wa Habari bado Pasco hakua kwake
IGP bado ni mkubwa kicheo kuliko DG wa TISS
Masuala ya Muungano yaache yalivyo na bendera, wimbo wao nk, lkn Amiri Jeshi na Mkuu wa Majeshi hawabadiliki hata km Rais wa Zanzibar atakagua Gwaride
Ujio wa JPM haukupangwa na TISS wala hawakumuambia akachukue fomu ila wao wanathibitisha kuwa atafaa kuwa Rais baada ya Kamati na wajumbe wa Chama kutumia Kura, kwani ndani ya Chama UWT (TISS) wapo
Kwanini TISS hawakumpitisha Membe jamaa yao au kumuongezea kura hata amkute J Makamba?
 
HUko TISS Wamejaa UVCCM
 
Umeeleza vizuri kabisa, ila wilayani Ocd sio katibu ni Das

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha bro ni ukweli mchungu... Pasco aliwahi kuandika hapa mwaka 2014 kuhusu rais ajaye 2015... Muulize alitoa wapi source?? From no where huwez kupewa nchi... Wapo wanaotoa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliyemsema kipindi hicho ndiyo Rais kwa sasa? Kama ndiye basi nitatafuta namna ya kuhakikisha kuwa Pasco ananitaja, halafu akishanitaja ndiyo naenda kuchukua fomu. Kwa hili hata kama atahitaji rushwa, nitampa kama huwa anapokea. I'm dying for a presidential run!
 
Labda anavyoona mgambo wakimwaga masufuria ya mama ntilie ndio anajua mafunzo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…