BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hela ingekuwa easy kiasi hiki.kina Bill Gate na Mzee wa Apple Steve Job- wangekuwa matrilionia!Kampuni ya kuwaelekeza watu jinsi ya kuvuna pesa kwenye simu au compyuta
PapuchiNaww uliahidi kumpa nn?
Wengi mnaosoma hapa hamjaelewa kabisa
View attachment 685473
Mkitaka kuelewa niulizeni niwafafanue ! Kama unataka kuelewa waulizeni wanafunzi wa TMT waliahidiwa nini kwa kila mwezi
Mmekuja kupima upepo.na bosi wenu.Acha ujinga mjingamimi
Kwanini umerudisha mjadala wa Ontario. Wakati mwenyewe ameamua kukaa kimya?unataka watu waendelee kumsema?Boss wangu mm ni mungu tu
Kwanini umerudisha mjadala wa Ontario. Wakati mwenyewe ameamua kukaa kimya?unataka watu waendelee kumsema?
Huyu dogo hauwezi jua 'motive' zake hasa ni nini after all kwa age yake anatakiwa ku 'establish' sana hata hizo biashara zake ndo baade aanze ku 'coach' watu, pia hata nae anatakiwa kujua biashara zina 'ups and downs ' na kwa age yake sijui kakutana na changamoto zenyewe hasa ktk hizo projects zake na aka 'emerge' kuna muda unampeleka katika ktk lifestyle ya kina Papa msofe,Mtt wa ndama,Kizaizai nk sema dogo ni wa ki 'digitally'
Hakukuwa na ulazima wa kumtaja jamaa.Mkuu hapana sijarudisha mjadala wa FOREX. Hii ni kitu kingine kabisa ndio maana. Nimekileta kwa wenye uhitaji kama mm. Wasio n uhitaji wapite tu. Kama umesoma vzr mwanzo wa bandiko utakua umenielewa
Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?...uwezi vuna hela kwa kuClick Maus ya Computer
Wewe ndo yule injinia mwenye jina kama la chama cha China ya zamani?Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Mke wa ontanarioWabongo bana[emoji1]