Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

Pia kutoka kwa Mick Jr. Timu zilizo qualify ni kama inavyoonekana hapo chini.
View attachment 2915217
Dah! Mpaka muda huu kuna Mwarabu mmoja tu! Na Mwarabu mwenyewe anaomba miungu yake yote asije akakuta mahali popote pale na Mamelodi Sundowns!

Aisee kweli soka la Afrika limebadilika. Maana kuna kila dalili yale yaliyo jitokeza Afcon, yakajirudia na huku.
 
Ila twendeni mbele na turudi nyuma..yani kwamba mlidhani Utopolo miaka nenda rudi haitakuja kuvuka makundi na kuingia robo? Lazima wakati ungefika na wakati wao ndo huu baada ya miaka kenda na kenda...ref mamelodeeee sound down...wana lunyasi sisi tuendelee tulipoishia tufe tupone tuingie robo tusishuke daraja...tutakutana at the top...
 
Hesabu za vidole zinasema mnahitaji point ngapi na ma goal mangapi kuvuka..?
 
Nyingine hii hapa
Screenshot_20240224_220604_Facebook.jpg
 
Ila twendeni mbele na turudi nyuma..yani kwamba mlidhani Utopolo miaka nenda rudi haitakuja kuvuka makundi na kuingia robo? Lazima wakati ungefika na wakati wao ndo huu baada ya miaka kenda na kenda...ref mamelodeeee sound down...wana lunyasi sisi tuendelee tulipoishia tufe tupone tuingie robo tusishuke daraja...tutakutana at the top...
ww tulia wanaenda kupangiwa mame..simalizii bwana watalia bure
 
Back
Top Bottom