Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

Hiyo raha manayosikia leo utopolo sisi tumeipata kwa misimu mitano.😂😂✌️

Umeongea kwa uchungu sana.

Sisi tunasikia raha sababu ya consistency.

Shirikisho msimu uliopita tumefika fainali na kukosa kombe kwa away goal.

Msimu huu uliofata tumempiga mtani goli 5 na kutinga robo kibabe.

Na hatuna malalamiko mechi za ligi tunazicheza hakuna kusogeza mechi mbele kwa kisingizio cha caf.

Imagine yanga jumatano tumetoka kucheza mechi ya ligi kuu ya Tanzania.

Same week tumecheza mechi mbili kubwa kwa gap la siku tatu tu
 
Back
Top Bottom