Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 25, 2024 #61 mito said: Haina haja ya kuwekeza nguvu mkuu, game ya kutimiza tu ratiba hiyo, wacheze kina Nkane, Shehan n.k wapate uzoefu Click to expand... Ili kuwa pot 1
mito said: Haina haja ya kuwekeza nguvu mkuu, game ya kutimiza tu ratiba hiyo, wacheze kina Nkane, Shehan n.k wapate uzoefu Click to expand... Ili kuwa pot 1
M makwega7 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2018 Posts 3,037 Reaction score 3,316 Feb 25, 2024 #62 Watu8 said: Ili kuwa pot 1 Click to expand... Unaweza kujitutumua kutafuta nafasi ya kwanza ili kuikwepa timu,nayo hiyo timu ikachemka ikashika nafasi ya pili, ikakufuata huko huko uliko.
Watu8 said: Ili kuwa pot 1 Click to expand... Unaweza kujitutumua kutafuta nafasi ya kwanza ili kuikwepa timu,nayo hiyo timu ikachemka ikashika nafasi ya pili, ikakufuata huko huko uliko.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 25, 2024 #63 makwega7 said: Unaweza kujitutumua kutafuta nafasi ya kwanza ili kuikwepa timu,nayo hiyo timu ikachemka ikashika nafasi ya pili, ikakufuata huko huko uliko. Click to expand... Lengo sio timu, bali faida ya mpangilio wa mechi...ukiwa wa kwanza game 1 unaanza ugenini na game 2 unamalizia nyumbani
makwega7 said: Unaweza kujitutumua kutafuta nafasi ya kwanza ili kuikwepa timu,nayo hiyo timu ikachemka ikashika nafasi ya pili, ikakufuata huko huko uliko. Click to expand... Lengo sio timu, bali faida ya mpangilio wa mechi...ukiwa wa kwanza game 1 unaanza ugenini na game 2 unamalizia nyumbani