Wadosi nao wanaoga sana, kuwaibia ni moto mwingine japo ingewezekana.Sasa nyie ndo wanaume,ila mlikwama pale mlipoiba milion 500 bora mngemuua yule dereva,then mkimbie na zile hela, alafu mngeachana na ujambazi kabisa
Yes, hapa alizingua Sana Ila Hawa jamaa huwa na roho ngumu Sana, imagine alichomfanyia Yule jamaa kule kigomaSema malipo hapa hapa duniani yani ulitembea na demu wa jamaa
Kuna migegedo au ndio porojo tuu?
Naomba unitag mkuuNilisoma hadi episode ya 96...jamaa anaandika balaa na kuna watu wachawi sana huko.
Tatizo sikukariri jina la mwandishi wala sikukoment so siupati
Namie nimesoma hapo hapo,kumbe wewe Ni mboyzia mwenzangu. Nimelala kimweri dormitory miaka yote minne.Sawa mkuu, kwa jina la bus siyo ishu lakini kuwa Tabora Boys ilikuwa day School never ever. Nimesoma hapo toka ikiwa chini ya Jeshi