Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Sasa mwizi hua hataki kuiba shilling moja moja hua anataka kuiba mabulungutu yaan million zisomeke 500 au 800 hapo ndio mwizi anaelewa

Mwizi ukimwambia aibe shilling moja mchezo wa YouTube view hakuelewi anaona unampotezea muda tu
Huko nako kuna cyber units. Wako kazini. Ukibambwa. Hawajali ulitaka kuiba sh 1 kila mwez wao wanakushitaki.
 
Huko nako kuna cyber units. Wako kazini. Ukibambwa. Hawajali ulitaka kuiba sh 1 kila mwez wao wanakushitaki.
Na wasipokudaka imekula kwao, nakumbuka kipindi nipo Chuo kuna mtabe mmoja hacker alidukua website ya Chuo akajibadirishia matokeo hivi tunamuona, nilichoka, alafu jamaa alikua na kesi ya Cyber alipiga tukio na wenzake wakadakwa na cyber unit kwenye website ya Serikali kesi ikafikishwa mahakamani Ila alichomoka, yupo humu JF Ila sitomtaja
 
Hata ukiwa unalala Hoteli ya 5 stars utakufa pia. Tena huenda hata mapema kuliko huyo jambazi.
Sema wengi hawatumii akili. Mtu unapata milioni 5 au 6 badala ununue hata assets.

Unatumia zote. Unaenda tena kurisk maisha yako. Tena na tena.
Hilo ndio tatizo mkuu
 
Pesa ya dhulma haiwezi kukupa mafanikio mkuu
Yni akili yenyewe inajifunga usifikirie maendeleo kabisaa
Mungu hapendi dhulma Mkuu

Pesa hujaitolea jasho hlf ikupe maendeleo Never ever
 
Pesa ya dhulma haiwezi kukupa mafanikio mkuu
Yni akili yenyewe inajifunga usifikirie maendeleo kabisaa
Mungu hapendi dhulma Mkuu

Pesa hujaitolea jasho hlf ikupe maendeleo Never ever

Inakupa maendeleo vzr tu,shida bongo yako imetiwa hofu na dini.
 
Back
Top Bottom