Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano una hack hela wakati zinatumwa kwenda kufichwa kanada ama China yaani una diverge routerKuna kaujambazi na kauwizi kdg ndani yangu naona sasa nimepata role model wangu🤭😄😄
Huu ndio uwizi smart inatumika akili nyingi, hii kukamatika pia ni rahisi?Mfano una hack hela wakati zinatumwa kwenda kufichwa kanada ama China yaani una diverge router
Nguruka hakuna koboko?MAISHA YANA MENGI SANA SANA TENA SANA ... SIO UNAMUONA MTU YUKO VIZURI UNATAMANI MAISHA YAKE ACHA KABISA!!!!!! KARIBUNI NGURUKA!!!!!!!!!
Hata wakikukamata utaheshimika tuHuu ndio uwizi smart inatumika akili nyingi, hii kukamatika pia ni rahisi?
Utakuwa wewe ni mchagga! Kushabikia uporaji na kuita dilisumbai huwa unasoma simulizi? Karibu hii kali ya kiume haswaaa...
Hata ukiwa unalala Hoteli ya 5 stars utakufa pia. Tena huenda hata mapema kuliko huyo jambazi.Ukigundulika ukodakwa ni kifo yaan polisi hawafugi jambazi maabusu,
Huko nako kuna cyber units. Wako kazini. Ukibambwa. Hawajali ulitaka kuiba sh 1 kila mwez wao wanakushitaki.Sasa mwizi hua hataki kuiba shilling moja moja hua anataka kuiba mabulungutu yaan million zisomeke 500 au 800 hapo ndio mwizi anaelewa
Mwizi ukimwambia aibe shilling moja mchezo wa YouTube view hakuelewi anaona unampotezea muda tu
Ndio maana tajiri akifa katika mazingira yasiyoeleweka ujue ni zuluma.Asee 500M na mnapata 9M, daah.
Na wasipokudaka imekula kwao, nakumbuka kipindi nipo Chuo kuna mtabe mmoja hacker alidukua website ya Chuo akajibadirishia matokeo hivi tunamuona, nilichoka, alafu jamaa alikua na kesi ya Cyber alipiga tukio na wenzake wakadakwa na cyber unit kwenye website ya Serikali kesi ikafikishwa mahakamani Ila alichomoka, yupo humu JF Ila sitomtajaHuko nako kuna cyber units. Wako kazini. Ukibambwa. Hawajali ulitaka kuiba sh 1 kila mwez wao wanakushitaki.
Hilo ndio tatizo mkuuHata ukiwa unalala Hoteli ya 5 stars utakufa pia. Tena huenda hata mapema kuliko huyo jambazi.
Sema wengi hawatumii akili. Mtu unapata milioni 5 au 6 badala ununue hata assets.
Unatumia zote. Unaenda tena kurisk maisha yako. Tena na tena.
Huyu ananifanya kila siku nikiamka nije kwenye huu uziUlivyo na usongo wa stori hadi umesahau kuandika vema.Aminia mkuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ya dhulma haiwezi kukupa mafanikio mkuuHata ukiwa unalala Hoteli ya 5 stars utakufa pia. Tena huenda hata mapema kuliko huyo jambazi.
Sema wengi hawatumii akili. Mtu unapata milioni 5 au 6 badala ununue hata assets.
Unatumia zote. Unaenda tena kurisk maisha yako. Tena na tena.
Pesa ya dhulma haiwezi kukupa mafanikio mkuu
Yni akili yenyewe inajifunga usifikirie maendeleo kabisaa
Mungu hapendi dhulma Mkuu
Pesa hujaitolea jasho hlf ikupe maendeleo Never ever
Hizi mbanga ni Past aiseeMimi nawashauri wafanye kazi yao,we unazidi kuwachanganya. Angalia casualties wanazopata.
Pesa za ujambazi zina laana, utaishia kuzichezea tu.Hata ukiwa unalala Hoteli ya 5 stars utakufa pia. Tena huenda hata mapema kuliko huyo jambazi.
Sema wengi hawatumii akili. Mtu unapata milioni 5 au 6 badala ununue hata assets.
Unatumia zote. Unaenda tena kurisk maisha yako. Tena na tena.
Utaogopwa wizi wa kimtandao unapitia akaunti za watu bila ya wao kujuaHata wakikukamata utaheshimika tu