Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kingine huwezi fanikiwa kwa kuwa peke yako, lazima muwe watu wengi ili kufanikiwa iba
Kwa lugha nyepesi inabidi uwe na lundo la scammers ambao wana-act reasonably behind you kukibuma anytime mnachomoka

Tafuta movie moja ilini-inspire sana inaitwa WHO AM I (NO SYSTEM IS SAFE)

Humo jamaa wanafanya vituko tu hawaibi Wala nini
 
Naitafuta hiyo nione maajabu ya akili za watu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tayari upo namie so tutafute wengine. Kuna wasauzi na wanaija miaka fulani walikuwa wanavuta atm money recently
 
There you are man... Chalii anafkiri anabeba tu kama maandazi.. Lazima kuwe na mtaji mzuri na hackers wa maana... Sio waliosoma zion f*** college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…