Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

sema nin, nadhani hapo cha kuhuzunisha ni kupoteza wazazi wako, mali zenu kuuzwa na huyo dingi mkubwa, ndugu kutupiana mpira kwenye kukulea na manyanyaso ya chakula. Lakn kukata majani ya ng'ombe, kuwalisha, kusafisha banda na kuokota kuni sio mateso bali ni wajibu.
 
Kifo kipo lakini akizoeleki kila unacho kiona kitaondoka itabaki dhati yake allah
 
Mmh! Pole sana mkuu wangu
Mungu akutie nguvu ya kuanza upya[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…