Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Sehemu ya 13

Tulipiga vyombo sana na jamaa akasema anatoka kama nusu saa atarudi. Kweli alitoka ila alikawia kurudi na mimi nikasema niondoke zangu nikiwa nanyanyuka naye huyu hapa.

Tukaendelea jioni akasema twende Tunduma kwanza nikapaone na nyumbani kwake na nimjue na shemeji. Mi bila hiyana nikasema sawa maana si sina location, kweli tulienda kwake na kupokelewa na mke wake. Ilikuwa ni mitaa ya ng'ambo ya Tazara reli nadhani ni panaitwa Sogea kama sijakosea.

Pale nilikaa na jamaa vizuri akawa ananipa vidili vidogo vidogo na vichaneli vya hapa na pale. Shida ilianza kwa shemeji yaani mke wa jamaa alikuwa ananisumbua sana na kila nikimkwepa wapi.

Siku moja nikiwa nimekaa zangu Nakonde upande wa Zambia jamaa alikuja akaniambia kuna udhuru kidogo umetokea hivyo anaenda Mbeya Mjini kwahyo kuna mzigo wa kama milioni 5 ataniacha nao, kweli jamaa alienda Mbeya na alikaa wiki nzima. Katika hiyo wiki nzima mimi sikukanyaga pale nyumbani maana nilijua ni moto utawaka. Alirudi na hela yake aliikuta salama na faida pia ipo.

Maisha yakaendelea hivo, jamaa akaniuliza maisha sasa hivi ya Tunduma nayaonaje mi nikamwambia hayana shida.

Akaendelea utaweza kupanga sasa chumba chako mwenyewe uanze maisha ya maparangano mi nikwambia ndio. Basi akasema anasafiri anaenda Dar kwenye mishe mishe akirudi atanipangishia chumba na kodi ya mwaka mzima.

Mi nikasema sawa ila nilibaki na maswali juu yake. Hapo ukumbuke ashanisoma sina mbele wala nyuma nipo nipo tu kama gunia la uwele.

Alisafiri kweli nikabaki pale na shemeji, ikabidi sasa nimuulize shem kwani jamaa anafanya kazi gani haswa inayompatia hela hivyo. Akasema ni dalali wa viwanja na nyumba, hayo maongezi yakaishia hapo.

Shemeji alizidisha vituko na uzalendo kwa kweli ulinishinda haswa ukizingatia alikuwa amejazia ana kishundu na mipaja. Saa zingine akurembulie mara akuombe umfunge zipu ya gauni, alimradi kunitesa tu! Nilijizuia sana ila nilishindwa nikasema nitaonja mara moja tu nakuacha. Mara moja ikawa mara mbili, mara mbili ikawa kila mara nikanogewa na mke wa jamaa na alikuwa amezaa na jamaa mtoto mmoja.

Alijua kuniteka yule mwanamke na sauti yake nyembamba na lips nene nene. Jamaa naye yuko busy Dar anatafuta hela kwaajili yetu mimi nipo busy namsaidia mke wake.

Jamaa alirudi kutoka Dar na alinipangishia chumba changu kwahyo pale kwake nikahama kimoja. Ila kumgongea mke wake ilikuwa ni mara kwa mara mpaka akashika mimba na jamaa hakuwahi kujua kuwa nilikuwa nammegea mke wake.

Hakunaga siri chini ya jua taarifa zikamfikia jamaa, bahati mbaya na mwanamke pia akaniambia hataki tena kuishi na jamaa na anataka tuishi wote! Kazi kwa kweli

Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
 
weka ndefu jomba
Sehemu ya 13
Tulipiga vyombo sana na jamaa akasema anatoka kama nusu saa atarudi. Kweli alitoka ila alikawia kurudi na mimi nikasema niondoke zangu nikiwa nanyanyuka naye huyu hapa. Tukaendelea jioni akasema twende tunduma kwanza nikapaone na nyumbani kwake na nimjue na shemeji. Mi bila hiyana nikasema sawa maana si sina location, kweli tulienda kwake na kupokelewa na mke wake. Ilikuwa ni mitaa ya ng'ambo ya tazara reli nadhani ni panaitwa sogea kama sijakosea.
Pale nilikaa na jamaa vizuri akawa ananipa vidili vidogo vidogo na vichaneli vya hapa na pale. Shida ilianza kwa shemeji yaani mke wa jamaa alikuwa ananisumbua sana nakila nikimkwepa wapi.
Siku moja nikiwa nimekaa zangu nakonde upande wa zambia jamaa alikuja akaniambia kuna udhuru kidogo umetokea hivyo anaenda mbeya mjini kwahyo kuna mzigo wa kama milioni 5 ataniacha nao, kweli jamaa alienda mbeya na alikaa wiki nzima. Katika hiyo wiki nzima mimi sikukanyaga pale nyumbani maana nlijua ni moto utawaka. Alirudi na hela yake aliikuta salama na faida pia ipo. Maisha yakaendelea hivo, jamaa akaniuliza maisha saivi ya tunduma nayaonaje mi nikamwambia hayana shida. Akaendelea utaweza kupanga sasa chumba chako mwenyewe uanze maisha yamaparangano mi nikwambia ndio. Basi akasema anasafiri anaenda dar kwenye mishe mishe akirudi atanipangishia chumba na kodi ya mwaka mzima.
Mi nikasema sawa ila nilibaki na maswali juu yake. Hapo ukumbuke ashanisoma sina mbele wala nyuma nipo nipo tu kama gunia la uwele.
Alisafiri kweli nikabaki pale na shemeji, ikabidi sasa nimuulize shem kwani jamaa anafanya kazi gani haswa inayompatia hela hivyo. Akasema ni dalali wa viwanja na nyumba, hayo maongezi yakaishia hapo. Shemeji alizidisha vituko na uzalendo kwa kweli ulinishinda haswa ukizingatia alikuwa amejazia ana kishundu na mipaja. Saa zingine akurembulie mara akuombe umfunge zipu ya gauni, alimradi kunitesa tu! Nilijizuia sana ila nilishindwa nikasema nitaonja mara moja tu nakuacha. Mara moja ikawa mara mbili, mara mbili ikawa kila mara nikanogewa na mke wa jamaa na alikuwa amezaa na jamaa mtoto mmoja. Alijua kuniteka yule mwanamke na sauti yake nyembamba na lips nene nene. Jamaa naye yuko busy dar anatafuta hela kwaajili yetu mimi nipo busy namsaidia mke wake.
Jamaa alirudi kutoka dar na alinipangishia chumba changu kwahyo pale kwake nikahama kimoja. Ila kumgongea mke wake ilikuwa ni mara kwa mara mpaka akashika mimba na jamaa hakuwahi kujua kuwa nilikuwa nammegea mke wake. Hakunaga siri chini ya jua taarifa zikamfikia jamaa, bahati mbaya na mwanamke pia akaniambia hataki tena kuishi na jamaa na anataka tuishi wote! Kazi kwa kweli

Wanawake huwa wanapenda mashetani kuliko wanadamu..huu ni ushajidi tosha
 
Sehemu ya 11
Nilikaa pale makuburini, na muda uliyoyoma sana nikaamua kusubiri muda uzidi kusonga maana niliona hapa ndio salama yangu. Kausingizi kalinipitia kidogo nikaja kuamshwa na wanga waliokuja kufanya yao makaburini, wao hawajiona ila mimi nimewaona. Nikaamka kuwafata ili kujua natokaje tokaje hapa, naona wao pia wananikimbia kwa hofu sijui walihisi mfu kafufuka au vp.
Nikaendelea kujibana na vituko viliendelea nikaona busara nisisumbue tena watu nkaja kamatwa hivo nilijiongeza kusubiri adhana ilie ili niende uelekeo huo huo. Macho nayo yalikuwa mazito ila adhana niliisikia nami nilifata uelekeo huo huo mpaka masjid pale nikajiziguzisha maeneo yale na kwakuwa mabomba yapo nilinawa. Mida ya sala ilivyoisha nikiwa na hang hang mitaa hiyo kwa kutosomeka nilisikia stori watu wanapiga. Yameuwawa wote, mengine yamekatwa, yule muarabu haingiliki wale wameyakanyaga.
Nikajua hapa kishanuka, kulipambazuka na stori kubwa town ilikuwa ni hiyo ukipita vijiweni au stendi watu wanasimuliana. Hapo sina hata ndururu (sina hela) nikawaza naondokaje huu mkoa wa kigoma. Nikaenda stendi kuzengea zengea nikamwona konda ananichangamkia, nikamuuliza unaenda wapi jomba? Akasema kasulu! Nikamwambia namimi naenda huko huko ila sina nauli msaada namimi ntapiga debe, akasema sawa kwanza fanya usafi ufagie ndani ya gari hilo utoe taka zote ukamwage. Nikafanya kama nilivoambiwa, gari lilikuwa kwenye kilo abiria walivyojaa likaondoka njiani mambo yalikuwa mengi sana ila nilifika kasulu na kuanza kufanya kazi za day worker sokoni. Nakulala ilikuwa ni kambi popote nilikaa kama wiki mbili kisha nikaondoka na kwenda kibondo maeneo twabagondozi ambako huko napenyewe ni vibarua vya mtaani tu. Huko nilibahatika kupata rafiki anaitwa ulokoze, huyu naye tulizoeana na katika kupiga soga za hapa na pale aliniambia mishe kuu kwa huku nikuteka magari au mabasi utaweza? Nikawaza nikaona hizo mishe ni ndogo ndogo sana nikamwambia hamna za hela ndefuu? Akasema labda wewe utupe sisi uzoefu wetu ni huku kibondo mpaka kasulu. Nikamuuliza silaha ipo? Akasema hana ila kuna mtu anayo nikitaka inapatikana. Nikamwambia basi hamna shida tuliachana na baada ya siku 3 alinifata nakuniambia wanaenda chimbo, yaani kutesa rizki za watu. Mi nikamwambia hizo za pesa ndogo achana nazo naendelea kusoma mazingira. Wao walienda na walifanikiwa kweli kutesa rizki. Alivyorudi nikamwambia anifanyie mpango wa silaha kuna chimbo naenda namimi kutesa rizki. Tulienda nae nikachukua silaha na kuondoka jioni nikampitia nikamwambie twende kuna hela za kutosha, tulipofika mitaa ya kanyamhela yeye alikuwa anaendesha pikipiki mimi nyuma amenipakia nilimpiga na kitako cha bunduki kwa nguvu pikipiki iliyumba tukaanguka wote chini, nikamsogeza pembeni ya barabara na kurudi kule kule kwake nikamvamia mkewe nakuwapora hela zote ambazo zilikuwa kama milioni 1 na chenchi kidogo. Mimi nikaamua sasa kukimbia na ile silaha niliitupa. Hapo ni usiku ukumbuke.
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Wewe jamaa kweli ni mafia[emoji2]
 
Sehemu ya 13
Tulipiga vyombo sana na jamaa akasema anatoka kama nusu saa atarudi. Kweli alitoka ila alikawia kurudi na mimi nikasema niondoke zangu nikiwa nanyanyuka naye huyu hapa. Tukaendelea jioni akasema twende tunduma kwanza nikapaone na nyumbani kwake na nimjue na shemeji. Mi bila hiyana nikasema sawa maana si sina location, kweli tulienda kwake na kupokelewa na mke wake. Ilikuwa ni mitaa ya ng'ambo ya tazara reli nadhani ni panaitwa sogea kama sijakosea.
Pale nilikaa na jamaa vizuri akawa ananipa vidili vidogo vidogo na vichaneli vya hapa na pale. Shida ilianza kwa shemeji yaani mke wa jamaa alikuwa ananisumbua sana nakila nikimkwepa wapi.
Siku moja nikiwa nimekaa zangu nakonde upande wa zambia jamaa alikuja akaniambia kuna udhuru kidogo umetokea hivyo anaenda mbeya mjini kwahyo kuna mzigo wa kama milioni 5 ataniacha nao, kweli jamaa alienda mbeya na alikaa wiki nzima. Katika hiyo wiki nzima mimi sikukanyaga pale nyumbani maana nlijua ni moto utawaka. Alirudi na hela yake aliikuta salama na faida pia ipo. Maisha yakaendelea hivo, jamaa akaniuliza maisha saivi ya tunduma nayaonaje mi nikamwambia hayana shida. Akaendelea utaweza kupanga sasa chumba chako mwenyewe uanze maisha yamaparangano mi nikwambia ndio. Basi akasema anasafiri anaenda dar kwenye mishe mishe akirudi atanipangishia chumba na kodi ya mwaka mzima.
Mi nikasema sawa ila nilibaki na maswali juu yake. Hapo ukumbuke ashanisoma sina mbele wala nyuma nipo nipo tu kama gunia la uwele.
Alisafiri kweli nikabaki pale na shemeji, ikabidi sasa nimuulize shem kwani jamaa anafanya kazi gani haswa inayompatia hela hivyo. Akasema ni dalali wa viwanja na nyumba, hayo maongezi yakaishia hapo. Shemeji alizidisha vituko na uzalendo kwa kweli ulinishinda haswa ukizingatia alikuwa amejazia ana kishundu na mipaja. Saa zingine akurembulie mara akuombe umfunge zipu ya gauni, alimradi kunitesa tu! Nilijizuia sana ila nilishindwa nikasema nitaonja mara moja tu nakuacha. Mara moja ikawa mara mbili, mara mbili ikawa kila mara nikanogewa na mke wa jamaa na alikuwa amezaa na jamaa mtoto mmoja. Alijua kuniteka yule mwanamke na sauti yake nyembamba na lips nene nene. Jamaa naye yuko busy dar anatafuta hela kwaajili yetu mimi nipo busy namsaidia mke wake.
Jamaa alirudi kutoka dar na alinipangishia chumba changu kwahyo pale kwake nikahama kimoja. Ila kumgongea mke wake ilikuwa ni mara kwa mara mpaka akashika mimba na jamaa hakuwahi kujua kuwa nilikuwa nammegea mke wake. Hakunaga siri chini ya jua taarifa zikamfikia jamaa, bahati mbaya na mwanamke pia akaniambia hataki tena kuishi na jamaa na anataka tuishi wote! Kazi kwa kweli
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Unyama mwingi sana
 
Back
Top Bottom