Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Sehemu ya 10

Tulienda mpaka Ipuli ambako ni nyumbani kwa shemeji yake na Madelagawisa ambaye ndio alituuzia mchongo. Tukazihesabu hela na zilikuwa milioni 40 kasoro.
Kumbe polisi wetu wakiamua wanawajibika, au kigezo ni mwarabu atawapa kitu kidogo? Ujambazi ukomeshwe!
 
Nilikuwa nawa mind members waliokuwa wanadai kuwa ntu analeta story kuteka watu later anapotea Mana anajua tayari ameshawalevya so mmekuwa mateja. Ila inaabidi ujue Hakuna Cha Mana Kama chakula ulichokula juzi umeshakisahau
 
Back
Top Bottom