Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Kumbe polisi wetu wakiamua wanawajibika, au kigezo ni mwarabu atawapa kitu kidogo? Ujambazi ukomeshwe!Sehemu ya 10
Tulienda mpaka Ipuli ambako ni nyumbani kwa shemeji yake na Madelagawisa ambaye ndio alituuzia mchongo. Tukazihesabu hela na zilikuwa milioni 40 kasoro.