Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Maisha ulokulia wewe ni tofauti na yake..kama umesoma mwanzo kabisa...
Naona anaelezea maisha ya wizi tu na si kujitafutia Hela kwa njia halaki...ila usichokijua waseri ni kama Wana vinasaba vya wizi...hapo Kenya Kila kukicha wanauawa....Hawa jirani zangu nawajua in&out
 
Labda nitakuwa nimeelewa tofauti na wewe.. Ila chanzo cha yeye kufikia huko ni kupoteza wazazi wote na kubaki kwenye mazingira magumu.

Nilicho jifunza ni kuweka mazingira sawa kwa watoto ukiwa hai.. ndugu sio kwakweli hasa ukiwa unajiweza na wao wakiwa na maisha ya kawaida
 
Inaonyesha waliachwa wakiwa wadogo sana na mali zikafujwa na ndg
 
Huyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz
Mazacoca
Sema Ni nature ya kila kiumbe
 
Huyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz
Hamna anajenga muendelezo wa story mkuu mpe muda naona kuna tukio anaenda kupigwa na aliemjazia mimba mkewe km sio kupigwa mapanga basi alipigwa risasi ya kiuno au shindo na sasa anatembelea magongo
 
Back
Top Bottom