BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Is it.Huyu jamaa mbona juzi kati kadedishwa kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu,true story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is it.Huyu jamaa mbona juzi kati kadedishwa kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu,true story
Mmmh so it's the end of this storyHuyu jamaa mbona juzi kati kadedishwa kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu,true story
Sio kweli acha kuwadanganya watu.Huyu jamaa mbona juzi kati kadedishwa kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu,true story
Naona anaelezea maisha ya wizi tu na si kujitafutia Hela kwa njia halaki...ila usichokijua waseri ni kama Wana vinasaba vya wizi...hapo Kenya Kila kukicha wanauawa....Hawa jirani zangu nawajua in&outMaisha ulokulia wewe ni tofauti na yake..kama umesoma mwanzo kabisa...
Mmejuaje kuwa ndio mleta uziTupo msibani hapa Tunduma maeneo ya Mwaka,jamaà amefariki aiseee.
Labda nitakuwa nimeelewa tofauti na wewe.. Ila chanzo cha yeye kufikia huko ni kupoteza wazazi wote na kubaki kwenye mazingira magumu.Naona anaelezea maisha ya wizi tu na si kujitafutia Hela kwa njia halaki...ila usichokijua waseri ni kama Wana vinasaba vya wizi...hapo Kenya Kila kukicha wanauawa....Hawa jirani zangu nawajua in&out
Inaonyesha waliachwa wakiwa wadogo sana na mali zikafujwa na ndgLabda nitakuwa nimeelewa tofauti na wewe.. Ila chanzo cha yeye kufikia huko ni kupoteza wazazi wote na kubaki kwenye mazingira magumu.
Nilicho jifunza ni kuweka mazingira sawa kwa watoto ukiwa hai.. ndugu sio kwakweli hasa ukiwa unajiweza na wao wakiwa na maisha ya kawaida
Huyu jamaa kanifany kuw Teja Kila wkt nachungulia tu nakuta holaKama hataki aache tu, lakini nafikiri na hili mkaliangalie tena
Feb 23 2022 bado mda unao utawaelewa tu tukifika 2024Kuna watu humu hata siwaelewi
MazacocaHuyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz
Hamna anajenga muendelezo wa story mkuu mpe muda naona kuna tukio anaenda kupigwa na aliemjazia mimba mkewe km sio kupigwa mapanga basi alipigwa risasi ya kiuno au shindo na sasa anatembelea magongoHuyu jamaa ameanza uzi kwa speed post za kutosha, Sasa hivi ameshajua uzi unawafuatiliaji wa kutosha anakuja kusoma comments nakusepa anasubiri tumbembeleze ndio apost , hivi unaanzishaje uzi Kama unajua una mambo mengi ??? Mazafantazzzz