Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Good afternoon brothers and sisters Sehemu ya 14

Jamaa taarifa alikuwa ameshapata, hivyo hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwangu ya kujua kinachoendelea. Moyo wa mtu ni kichaka na ni fumbo kubwa sana. Kiujumla nilikolea sana kwa mke wa jamaa ikafika hatua akawa mpaka anamwibia jamaa hela na kunipa na mimi kila ninapokuwa naye nilijihisi amani kwa mke wa mtu.

Siku ya ijumaa nakumbuka kuna dalili ya wingu asubuhi ya saa tatu, tumbo lilikuwa linaniuma sana yaani lile la kukata na unajisokota kama nyoka umaaji wake. Niliwaza shida ni nini haswa ghafla nilisikia hodi mlangoni, ni mke wa jamaa alifika. Nilimkaribisha nayeye alikuwa amekuja na ameleta mapocho pocho asubuhi ile kwa ajili ya chai.

Tumbo liliachia ila nilihisi sasa limekuja tumbo la kuhara ikabidi nikimbie niwahi chooni, kufika kuna mtu ikabidi kwa haraka haraka niende nyumba ya jirani niombe kuingia chooni. Lakini nikiwa kule nahisi kuhara ila vitu havitoki ndio ghafla nikatapika sana na mapigo ya moyo yakienda kwa kasi mnoo!

Nilitoka kule mwili ukiwa unatetemeka wakati narudi sio mbali na geto nasikia fujo na kama kuna zogo hpo home. Kiutaalam nilishajua kuwa kwa zile ishara basi balaa lilikuwepo mbele yangu hivyo nilisogea ado ado nichungulie kunanini? Ile kusogeza kichwa nichungulie nikasikia sauti yule kule!

Walinikimbiza sana nikiwa nimevaa bukta na singlendi, walivyoona hawanikamati wakaanza kuniitia mwizi na kwa Tunduma hawana mchezo na wezi kabisa. Kilichoniokoa na kipigo ni mvua iliyoanza kunyesha na mimi kuingia kwenye pagale moja kujificha nikiwa hoi sana.

Nilikaa pale sana nikiwaza na kuwazua sana kuwa nimenusurika, lakini kwanini waniite mimi mwizi? Na mbaya sana mwanamke wangu itakuwaje kule nyuma, hivyo lazima niangalie njia ya kurudi na kujua mambo yanakwendaje.

Giza lilipoingia nilirudi mpaka mitaa ya jirani na geto nikakutana na mama mmoja njiani nakumuuliza kinachoendelea pale kwetu! Aliniambia kwa usalama wangu nihame huu mkoa lasivyo wakinikamata hakuna rangi ntaacha kuona.

Geto pale naona pamepigwa kofuli kwa nje, nikatafta bisi bisi( komeo ni zile za kugongea misumari au ufunge na screw) hiyo kwangu ilikuwa ni kazi rahisi, na majira hayo yalikuwa mida ya 2 usiku. Bado kuna pilika pilika za majirani na wengine wananiona.

Nilifanikiwa zoezi langu na kuingia ndani nilikaa kwa muda wa kama nusu saa, nikavaa nguo zangu na kubeba hela. Wakati sijafika hata mbali nao wakawa wameingia hivyo taarifa walipata nikasikia hajaenda mbali lazima arudi, maana mlango sijafunga. Kwasababu ni giza wakashauriana twendeni tuelekee stendi tukamvizie na akirudi utupe taarifa! Kwahyo kuna jirani ndio aliuza mchongo.

Tulipishana sasa mimi niliharakisha kwenda kwake wakati huo yeye anawahi stendi kunivizia kama atanidaka huko.

Nilifika kwake kuko kimyaa kidogo, nikawa nasikilizia kwanza nijue kuna mtu au laa! Nilikaa sana pale, nikamwona kwambali jamaa anajongea wako wawili wamebebana kwenye pikipiki. Akashushwa na yule mwenzake wakapiga story zao na kujipa matumaini ya kuwa watanikamata na nitajuta.

Mwenzake aliondoka na sasa alibaki jamaa mwenyewe, akawa anafungua grili akamaliza wakati anafungua sasa mlango mimi nilimvaa na kumpiga kabali yaani roba kwa nyuma alikuwa naye si haba hivyo alianza purukushani na mimi katika ile hali ya kuona huyu atanishinda nilimchoma na bisi bisi mara tatu. Alilegea akawa analia kwa maumivu na mimi nikakimbia eneo la tukio kabla watu hawajaanza kujitokeza. Usiku huo huo mi nilitorokea upande wa zambia boda kule kunaitwa Nakonde. Na kwa usiku huwa hamna ule mwingiliano wa mchana wa watu.

Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
 
Jamaa taarifa alikuwa ameshapata, hivyo hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwangu ya kujua kinachoendelea. Moyo wa mtu ni kichaka na ni fumbo kubwa sana. Kiujumla nilikolea sana kwa mke wa jamaa ikafika hatua akawa mpaka anamwibia jamaa hela na kunipa namimi kila ninapokuwa naye nilijihisi amani kwa mke wa mtu.
Siku ya ijumaa nakumbuka kuna dalili ya wingu asubuhi ya saa tatu, tumbo lilikuwa linaniuma sana yaani lile lakukata na unajisokota kama nyoka umaaji wake. Niliwaza shida ni nini haswa ghafla nilisikia hodi mlangoni, ni mke wa jamaa alifika. Nilimkaribisha nayeye alikuwa amekuja na ameleta mapocho pocho asubuhi ile kwa ajili ya chai. Tumbo liliachia ila nilihisi sasa limekuja tumbo la kuhara ikabidi nikimbie niwahi chooni, kufika kuna mtu ikabidi kwa haraka haraka niende nyumba ya jirani niombe kuingia chooni. Lakini nikiwa kule nahisi kuhara ila vitu havitoki ndio ghafla nikatapika sana na mapigo ya moyo yakienda kwa kasi mnoo! Nilitoka kule mwili ukiwa unatetemeka wakati narudi sio mbali na geto nasikia fujo na kama kuna zogo hpo home. Kiutaalam nilishajua kuwa kwa zile ishara basi balaa lilikuwepo mbele yangu hivyo nilisogea ado ado nichungulie kunanini? Ile kusogeza kichwa nichungulie nikasikia sauti yule kule!

Giza lilipoingia nilirudi mpaka mitaa ya jirani na geto nikakutana na mama mmoja njiani nakumuuliza kinachoendelea pale kwetu! Aliniambia kwa usalama wangu nihame huu mkoa lasivyo wakinikamata hakuna rangi ntaacha kuona. Geto pale naona pamepigwa kofuli kwa nje, nikatafta bisi bisi( komeo ni zile za kugongea misumari au ufunge na screw) hiyo kwangu ilikuwa ni kazi rahisi, na majira hayo yalikuwa mida ya 2 usiku. Bado kuna pilika pilika za majirani na wengine wananiona. Nilifanikiwa zoezi langu na kuingia ndani nilikaa kwa muda wa kama nusu saa, nikavaa nguo zangu na kubeba hela. Wakati sijafika hata mbalinao wakawa wameingia hivyo taarifa walipata nikasikia hajaenda mbali lazima arudi, maana mlango sijafunga. Kwasababu ni giza wakashauriana twendeni tuelekee stendi tukamvizie na akirudi utupe taarifa! Kwahyo kuna jirani ndio aliuza mchongo. Tulipishana sasa mimi niliharakisha kwenda kwake walati huo yeye anawahi stendi kunivizia kama atanidaka huko.
Nilifika kwake kuko kimyaa kidogo, nikawa naskilizia kwanza nijue kuna mtu au laa! Nilikaa sana pale, nikamwona kwambali jamaa anajongea wako wawili wamebebana kwenye pikipiki. Akashushwa na yule mwenzake wakapiga story zao na kujipa matumaini ya kuwa watanikamata na nitajuta. Mwenzake aliondoka na sasa alibaki jamaa mwenyewe, akawa anafungua grili akamaliza wakati anafungua sasa mlango mimi nilimvaa na kumpiga kabali yaani roba kwa nyuma alikuwa naye si haba hivyo alianza purukushani na mimi katika ile hali ya kuona huyu atanishinda nilimchoma na bisi bisi mara tatu. Alilegea akawa analia kwa maumivu na mimi nikakimbia eneo la tukio kabla watu hawajaanza kujitokeza. Usiku huo huo mi nilitorokea upande wa zambia boda kule kunaitwa nakonde. Na kwa usiku huwa hamna ule mwingiliano wa mchana wa watu.

Aloo[emoji119]
 
Maliza kabisa utuachie uzi wetu
 
Kwann sasa ulimvamia tena,ili iweje

pEsa zake umetumia,umem to m b ea na bisibis umemchoma,ulikuwa unataka nini
 
Asante ila fupi sana!
 
Mchaga katili
 
Sehemu ya 6

Tulisubiri ishara bila mafanikio ikabidi turudi location yetu tukiwa tumefura hasira ile mbaya. Asubuhi palikucha na Mankah ndo alikuja wa kwanza na kuanza kulalama sana juu ya Warombo kuwa mama huruma na kwamba Adela amesema hatoshiriki na sisi kwenye huo mpango kwa kuwa ameahidiwa kuolewa na Ima pamoja na kujengewa nyumba, hivo tuliambilia hela ya nauli ya kuondokea Mererani. Wote tulitawanyika na kila mtu alishika 50 zake mchongo ulifeli.

Siku ya Jumamosi nikiwa mitaa ya Ngusero napuyanga huku na huko Palangyo alinifata na kuniambia twende Iliboru karibia na shule ya Iliboru ilipo kuna ramani tuliondoka na gari aina ya pegeout504 mpaka Iliboru. Kule tulimkuta Mroso na mimi na Palangyo na Fidee ambaye ndio alikuwa anaendesha hiyo pegeout.

Mchongo tuliusuka vizuri baada ya kupata taarifa kuna Wakenya wamekuja kununua maparachichi Tanzania, na wapo mizani pale back town Ngarenaro.

Tuliondoka na kwenda mpaka mitaa ya kona ya Eso ambapo tulipaki na kwenda kuzengea zengea ili kujua kunaingilika? Na dere naye alienda kuweka full tanka pamoja na mengine kwenye dumu kama dharura. Kweli fuso ile aina ya tandam ilikuwa imeshiba na walikuwa ni Wakenya ambao walikuwa wanasubiri jua lizame waanze safari ya kurudi kwao Kenya kupitia Namanga.

Sisi tuliamua kutangulia na gari ilikuwa ikipepea haswa mpaka tulipofikaOldonyosambu tukapaki pale huku tunachanja gomba na kushtua bangi ili akili zikae sawa tulipoteza kama nusu saa kisha tukaendelea mbele mpaka Longido, pale tulikuta road block tukasimamishwa kwaajili ya ukaguzi kwa kuwa tulikuwa tuna gomba na bangi tukaona tusipotezeane muda tukampooza askari kiasi cha pesa akatabasamu na kututakia kila la kheri.

Tulienda mpaka mbele kuna kamsitu pale tulisimama na kupaki gari barabarani kana kwamba limeharibika tulikaa kama masaa mawili kisha tukaliona gari la wakenya tandam likija lilikuwa kwa juu pale limeandikwa Michelin Naivasha. Gari iliwashwa na kusogezwa katikati ya barabara halafu likazimwa kama limeharibika tena huku tukijaribu kulisukuma.

Dereva alianza kupunguza mwendo mdogo mdogo upande huu mwingine gari za kutoka Namanga zilikuwa zinakuja tukaona hapa ndio penyewe tukalirudisha saiti yetu kuyapisha magari yanayotoka Namanga kwenda Arusha yapite. Palangyo alienda kwa Wakenya yule dereva kuomba msaada yule dereva aligoma ndipo Mroso akaona muda unazidi kupotea akazumguka upande wa abiria siti nyingine hizi akachomoa bunduki ambayo tuliikodi hapo hapo Arusha. Akapiga moja juu na Palangyo naye alichomoa ya kwake kumtisha dereva maana alikuwa ameshaanza kuingiza gia.

Dereva naye wa Pegeout hakuwa mzembe aliirudisha reverse gari mpaka ikaigonga ile tandam kwa mbele kidogo.

Tuliwashusha wote chini na hakukuwa na kupoteza muda kwani tuliwapiga na kuwataka watoe pesa, pesa ilikuwa kwenye mkoba nyuma ya siti maeneo ya cabin. Tuliibeba na kupiga risasi moja juu tena kisha tukatimua vumbi kurudi Longido, kufika Longido tulishika njia moja ya vumbi ya kuelekea Kiserian ili kukwepa polisi ambao wangetufata.

Gari ilikuwa inatembea haswa tulikuja kutoboa Lariboro na kuelekea mpaka Olmotoni kisha kuelekea Mateves ambapo tulipaki mitaa hiyo na kusikilizia kwanza. Tuliamua kutafta nyumba ya kulala wageni maalum kwaajili ya kuhesabu pesa hizo ambazo zilikuwa milioni 27 na chenchi zake. Mgawanyo ulikuwa 6*6*6*9.

Palangyo ndio alikuwa na mchongo hivo alikuwa anakula cha juu zaidi. Hakukuwa na ubishi sana katika mgawanyo kwani mapatano ya mwanzo ni kuwa mwenye ramani ndio mshika hela na ndiyo atagawa kutokana na ugumu wa kazi.

Je nini kitafata usikose kufuatana nami hadi mwisho.

Hapa umedanganya, huwezi toka longido kwenda kiserian, kwa njia ipi? Ndo kwanza ya east africa imejengwa juzi, halafu unatokeaje mateves? Labda kama ungepita ngaramtoni ya juu
 
Sehemu ya 15

Niliishi mafichoni kwa wiki mbili hapo Nakonde huku nikiendesha matukio ya wizi Tanzania na kukimbilia upande wa Zambia. Nikaamua niondoke na kuelekea Lusaka, ambapo tuliondoka majira ya jioni na njiani nilikuwa kimya sana maana Wazambia ukiacha pale Nakonde huko wengine hawajui Kiswahili na kipindi hicho walikuwa wengi watu wazima hawajafanyiwa circumcision.

Njiani kulikuwa na road block kadhaa haswa za ukaguzi wa passport na wahalifu, ila hata hawakukagua na tulifika Lusaka majira ya alfajiri. Nilishuka pale nikiwa sina ramani yoyote kabisa na wapi naelekea. Hivyo nikaona nibaki hapa hapa stendi, na muda ukazidi kwenda na mfukoni nina kwacha zangu za Zambia na kipindi hicho kwacha ilikuwa haina thamani kabisa tofauti na sasa.

Nikawa nazurua tu pale nikawa kichwa kinawaka moto nikaenda kwa shoeshine jirani nijaribu kupata walau A na B ya hapo Zambia. Nilipofika alinikaribisha kwa Kiingereza na kwa Zambia wanaongea kiingereza na kikabila.

Nikaona huyu kwanini anikaribishe kwa kiingereza wakati kila sehemu unasikia watu wanaongea kikabila na ukikuta Kiingereza basi sio wa jamii hiyo. Akaniuliza wewe umetokea Zambia maeneo gani? Mi nikamwambia nimetokea Nakonde boarder, na yeye akaniambia kwahiyo unajua kiswahili kidogo nikamjibu ndiyo. Akaanza kunisemesha kwa Kiswahili, na Mtanzania akiongea unajua tu huyu ni mtz.

Tukaongea sana akaniambia kuna mshikaji yuko huko Chipata Zambia ambako ni boarder na Malawi ataniunganisha naye, naye ni Mtanzania wa huko huko Moshi. Ana dili nyingi sana hivyo kama niko tayari basi niseme anielekeze nifike huko. Na akanisihi kuwa kwenye maisha lazima uwe na side hustles kama yeye huwa anaenda piga dili ila akirudi anashona viatu na kupiga kiwi viatu. Hivyo hela anatuma Tanzania na familia inasonga mbele.

Tuliongea mengi sana na mwisho kwasababu ndiyo kazi ambayo nina uzoefu nayo niliamua lolote mbele yangu litalokuja nalifanya. Nililala Lusaka kwa jamaa kwa siku 2. Kabla kuondoka na kuelekea Chipata, njiani hakukuwa na mengi zaidi ya kula samaki kuna mto mkubwa sana ukiwa unaelekea huko Chipata.

Nilifika na kutokana na maelekezo nilifanya namna nilivyoambiwa na kutafta usafiri ulionipeleka mpaka kwa mhusika mkuu hapo Chipata. Nilifika na alinipokea baada ya maelezo marefu.

Huyu bwana ni mtu Kibosho kwa hivo stori zangu na zake hazikuwa na utofauti sana yeye alinieleza stori yake ambapo kwa ufupi sana alikuwa anaiba magari Tanzania na kuyapeleka Kenya. Wezi walipoanza kuwa wengi na biashara ikawa sasa ngumu akaamua kuja Zambia kuja kuendeleza mishe zake ambazo anasema ameshakuwa na chaneli kubwa sana.

Na mimi nilifurahi kukutana na mdosi mwingine wa nyumbani na haswa ugenini nikiamini huku hata kuchinja ntachinja maana ni ugenini. Alinizungusha Chipata pale kwa siku mbili na kuniambia ni lazima anipeleke kwa mtaalam kwaajili ya kufanya dawa maana hizi biashara bila dawa ni ngumu sana haswa ukizingatia ushindani ndani ya biashara ya wizi imekuwa kubwa na kuzidiana kete.

Mi sikuwa na ubishi wowote na tulienda kweli kwa mtaalam na tulipofika, alisema dawa haiwezi panda dawa. Hivyo lazima nikubali kutoa hirizi ya mwanzo ndipo anifanyie dawa zake. Mi nilikataa hivyo sikufanyiwa dawa yoyote zaidi kupewa vimajani majani kama kolezo la viapo na mdosi endapo nitamzunguka.

Tulirudi nyumbani kwa mdosi na hivyo akaniambia kuna kazi natakiwa nikaifanye usiku ambayo sio kubwa sana maeneo ya Mwami boarder upande wa Malawi. Ili kujua kama niko vizuri na nina mudu hizi shughuli na je? Ataweza kuniamini! Hivyo nilipewa kikosi cha watu 3 na mimi wanne wote watanzania.

Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
 
Sehemu ya 15
Niliishi mafichoni kwa wiki mbili hapo nakonde huku nikiendesha matukio ya uwizi Tanzania na kukimbilia upande wa zambia. Nikaamua niondoke na kuelekea lusaka, ambapo tuliondoka majira ya jioni na njiani nilikuwa kimya sana maana wazambia ukiacha pale nakonde huko wengine hawajui kiswahili na kipindi hicho walikuwa wengi watu wazima hawajafanyiwa circumcision. Njiani kulikuwa na road block kadhaa haswa za ukaguzi wa passport na wahalifu, ila hata hawakukagua na tulifika lusaka majira ya alfajiri. Nilishuka pale nikiwa sina ramani yoyote kabisa na wapi naelekea. Hivyo nikaona nibaki hapa hapa stendi, namuda ukazidi kwenda na mfukoni nina kwacha zangu za zambia na kipindi hicho kwacha ilikuwa haina thamani kabisa tofauti na sasa. Nikawa nazurua tu pale nikawa kichwa kinawaka moto nikaenda kwa shoeshine jirani nijaribu kupata walau A na B ya hapo zambia. Nilipofika alinikaribisha kwa kiingereza na kwa zambia wanaongea kiingereza na kikabila. Nikaona huyu kwanini anikaribishe kwa kiingereza wakati kila sehemu unasikia watu wanaongea kikabila na ukikuta kiingereza basi sio wa jamii hiyo. Akaniuliza wewe umetokea zambia maeneo gani? Mi nikamwambia nimetokea nakonde boarder, nayeye akaniambia kwahiyo unajua kiswahili kidogo nikamjibu ndiyo. Akaanza kunisemesha kwa kiswahili, na mtanzania akiongea unajua tu huyu ni mtz. Tukaongea sana akaniambia kuna mshikaji yuko huko chipata zambia ambako ni boarder na malawi ataniunganisha naye, naye ni mtanzania wa huko huko moshi. Ana dili nyingi sana hivyo kama niko tayari basi niseme anielekeze nifike huko. Na akanisihi kuwa kwenye maisha lazima uwe na side hustles kama yeye huwa anaenda piga dili ila akirudi anashona viatu na kupiga kiwi viatu. Hivyo hela anatuma Tanzania na familia inasonga mbele. Tuliongea mengi sana na mwisho kwasababu ndiyo kazi ambayo ninauzoefu nayo niliamua lolote mbele tangu litalokuja nalifanya. Nililala lusaka kwa jamaa kwa siku 2. Kabla kuondoka na kuelekea chipata, njiani hakukuwa na mengi zaidi ya kula samaki kuna mto mkubwa sana ukiwa unaelekea huko chipata. Nilifika na kutokana na maelekezo nilifanya namna nilivyoambiwa na kutafta usafiri ulionipeleka mpaka kwa mhusika mkuu hapo chipata. Nilifika na alinipokea baada ya maelezo marefu. Huyu bwana ni mtu kibosho kwa hivo stori zangu na zake hazikuwa na utofauti sana yeye alinieleza stori yake ambapo kwa ufupi sana alikuwa anaiba magari Tanzania na kuyapeleka kenya. Wezi walipoanza kuwa wengi na biashara ikawa sasa ngumu akaamua kuja zambia kuja kuendeleza mishe zake ambazo anasema ameshakuwa na chaneli kubwa sana.
Namimi nilifurahi kukutana na mdosi mwingine wa nyumbani na haswa ugenini nikiamini huku hata kuchinja ntachinja maana ni ugenini. Alinizungusha chipata pale kwa siku mbili nakuniambia ni lazima anipeleke kwa mtaalam kwaajili ya kufanya dawa maana hizi biashara bila dawa ni ngumu sana haswa ukizingatia ushindani ndani ya biashara ya uwizi imekuwa kubwa na kuzidiana kete.
Mi sikuwa na ubishi wowote na tulienda kweli kwa mtaalam na tulipofika, alisema dawa haiwezi panda dawa. Hivyo lazima nikubali kutoa hirizi ya mwanzo ndipo anifanyie dawa zake. Mi nilikataa hivyo sikufanyiwa dawa yoyote zaidi kupewa vimajani majani kama kolezo la viapo na mdosi endapo nitamzunguka. Tulirudi nyumbani kwa mdosi na hivyo akaniambia kuna kazi natakiwa nikaifanye usiku ambayo sio kubwa sana maeneo ya mwami boarder upande wa malawi. Ili kujua kama niko vizuri na nina mudu hizi shughuli na je? Ataweza kuniamini! Hivyo nilipewa kikosi cha watu 3 na mimi wanne wote watanzania.

Twende kazi.
 
Good afternoon brothers and sisters Sehemu ya 14
Jamaa taarifa alikuwa ameshapata, hivyo hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwangu ya kujua kinachoendelea. Moyo wa mtu ni kichaka na ni fumbo kubwa sana. Kiujumla nilikolea sana kwa mke wa jamaa ikafika hatua akawa mpaka anamwibia jamaa hela na kunipa namimi kila ninapokuwa naye nilijihisi amani kwa mke wa mtu.
Siku ya ijumaa nakumbuka kuna dalili ya wingu asubuhi ya saa tatu, tumbo lilikuwa linaniuma sana yaani lile lakukata na unajisokota kama nyoka umaaji wake. Niliwaza shida ni nini haswa ghafla nilisikia hodi mlangoni, ni mke wa jamaa alifika. Nilimkaribisha nayeye alikuwa amekuja na ameleta mapocho pocho asubuhi ile kwa ajili ya chai. Tumbo liliachia ila nilihisi sasa limekuja tumbo la kuhara ikabidi nikimbie niwahi chooni, kufika kuna mtu ikabidi kwa haraka haraka niende nyumba ya jirani niombe kuingia chooni. Lakini nikiwa kule nahisi kuhara ila vitu havitoki ndio ghafla nikatapika sana na mapigo ya moyo yakienda kwa kasi mnoo! Nilitoka kule mwili ukiwa unatetemeka wakati narudi sio mbali na geto nasikia fujo na kama kuna zogo hpo home. Kiutaalam nilishajua kuwa kwa zile ishara basi balaa lilikuwepo mbele yangu hivyo nilisogea ado ado nichungulie kunanini? Ile kusogeza kichwa nichungulie nikasikia sauti yule kule!
Walinikimbiza sana nikiwa nimevaa bukta na singlendi, walivyoona hawanikamati wakaanza kuniitia mwizi na kwa Tunduma hawana mchezo na wezi kabisa. Kilichoniokoa na kipigo ni mvua iliyoanza kunyesha na mimi kuingia kwenye pagale moja kujificha nikiwa hoi sana.
Nilikaa pale sana nikiwaza na kuwazua sana kuwa nimenusurika, lakini kwanini waniite mimi mwizi? Na mbaya sana mwanamke wangu itakuwaje kule nyuma, hivyo lazima niangalie njia ya kurudi na kujua mambo yanakwendaje.
Giza lilipoingia nilirudi mpaka mitaa ya jirani na geto nikakutana na mama mmoja njiani nakumuuliza kinachoendelea pale kwetu! Aliniambia kwa usalama wangu nihame huu mkoa lasivyo wakinikamata hakuna rangi ntaacha kuona. Geto pale naona pamepigwa kofuli kwa nje, nikatafta bisi bisi( komeo ni zile za kugongea misumari au ufunge na screw) hiyo kwangu ilikuwa ni kazi rahisi, na majira hayo yalikuwa mida ya 2 usiku. Bado kuna pilika pilika za majirani na wengine wananiona. Nilifanikiwa zoezi langu na kuingia ndani nilikaa kwa muda wa kama nusu saa, nikavaa nguo zangu na kubeba hela. Wakati sijafika hata mbalinao wakawa wameingia hivyo taarifa walipata nikasikia hajaenda mbali lazima arudi, maana mlango sijafunga. Kwasababu ni giza wakashauriana twendeni tuelekee stendi tukamvizie na akirudi utupe taarifa! Kwahyo kuna jirani ndio aliuza mchongo. Tulipishana sasa mimi niliharakisha kwenda kwake walati huo yeye anawahi stendi kunivizia kama atanidaka huko.
Nilifika kwake kuko kimyaa kidogo, nikawa naskilizia kwanza nijue kuna mtu au laa! Nilikaa sana pale, nikamwona kwambali jamaa anajongea wako wawili wamebebana kwenye pikipiki. Akashushwa na yule mwenzake wakapiga story zao na kujipa matumaini ya kuwa watanikamata na nitajuta. Mwenzake aliondoka na sasa alibaki jamaa mwenyewe, akawa anafungua grili akamaliza wakati anafungua sasa mlango mimi nilimvaa na kumpiga kabali yaani roba kwa nyuma alikuwa naye si haba hivyo alianza purukushani na mimi katika ile hali ya kuona huyu atanishinda nilimchoma na bisi bisi mara tatu. Alilegea akawa analia kwa maumivu na mimi nikakimbia eneo la tukio kabla watu hawajaanza kujitokeza. Usiku huo huo mi nilitorokea upande wa zambia boda kule kunaitwa nakonde. Na kwa usiku huwa hamna ule mwingiliano wa mchana wa watu.
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Kaliii
 
Sehemu ya 15
Niliishi mafichoni kwa wiki mbili hapo nakonde huku nikiendesha matukio ya uwizi Tanzania na kukimbilia upande wa zambia. Nikaamua niondoke na kuelekea lusaka, ambapo tuliondoka majira ya jioni na njiani nilikuwa kimya sana maana wazambia ukiacha pale nakonde huko wengine hawajui kiswahili na kipindi hicho walikuwa wengi watu wazima hawajafanyiwa circumcision. Njiani kulikuwa na road block kadhaa haswa za ukaguzi wa passport na wahalifu, ila hata hawakukagua na tulifika lusaka majira ya alfajiri. Nilishuka pale nikiwa sina ramani yoyote kabisa na wapi naelekea. Hivyo nikaona nibaki hapa hapa stendi, namuda ukazidi kwenda na mfukoni nina kwacha zangu za zambia na kipindi hicho kwacha ilikuwa haina thamani kabisa tofauti na sasa. Nikawa nazurua tu pale nikawa kichwa kinawaka moto nikaenda kwa shoeshine jirani nijaribu kupata walau A na B ya hapo zambia. Nilipofika alinikaribisha kwa kiingereza na kwa zambia wanaongea kiingereza na kikabila. Nikaona huyu kwanini anikaribishe kwa kiingereza wakati kila sehemu unasikia watu wanaongea kikabila na ukikuta kiingereza basi sio wa jamii hiyo. Akaniuliza wewe umetokea zambia maeneo gani? Mi nikamwambia nimetokea nakonde boarder, nayeye akaniambia kwahiyo unajua kiswahili kidogo nikamjibu ndiyo. Akaanza kunisemesha kwa kiswahili, na mtanzania akiongea unajua tu huyu ni mtz. Tukaongea sana akaniambia kuna mshikaji yuko huko chipata zambia ambako ni boarder na malawi ataniunganisha naye, naye ni mtanzania wa huko huko moshi. Ana dili nyingi sana hivyo kama niko tayari basi niseme anielekeze nifike huko. Na akanisihi kuwa kwenye maisha lazima uwe na side hustles kama yeye huwa anaenda piga dili ila akirudi anashona viatu na kupiga kiwi viatu. Hivyo hela anatuma Tanzania na familia inasonga mbele. Tuliongea mengi sana na mwisho kwasababu ndiyo kazi ambayo ninauzoefu nayo niliamua lolote mbele tangu litalokuja nalifanya. Nililala lusaka kwa jamaa kwa siku 2. Kabla kuondoka na kuelekea chipata, njiani hakukuwa na mengi zaidi ya kula samaki kuna mto mkubwa sana ukiwa unaelekea huko chipata. Nilifika na kutokana na maelekezo nilifanya namna nilivyoambiwa na kutafta usafiri ulionipeleka mpaka kwa mhusika mkuu hapo chipata. Nilifika na alinipokea baada ya maelezo marefu. Huyu bwana ni mtu kibosho kwa hivo stori zangu na zake hazikuwa na utofauti sana yeye alinieleza stori yake ambapo kwa ufupi sana alikuwa anaiba magari Tanzania na kuyapeleka kenya. Wezi walipoanza kuwa wengi na biashara ikawa sasa ngumu akaamua kuja zambia kuja kuendeleza mishe zake ambazo anasema ameshakuwa na chaneli kubwa sana.
Namimi nilifurahi kukutana na mdosi mwingine wa nyumbani na haswa ugenini nikiamini huku hata kuchinja ntachinja maana ni ugenini. Alinizungusha chipata pale kwa siku mbili nakuniambia ni lazima anipeleke kwa mtaalam kwaajili ya kufanya dawa maana hizi biashara bila dawa ni ngumu sana haswa ukizingatia ushindani ndani ya biashara ya uwizi imekuwa kubwa na kuzidiana kete.
Mi sikuwa na ubishi wowote na tulienda kweli kwa mtaalam na tulipofika, alisema dawa haiwezi panda dawa. Hivyo lazima nikubali kutoa hirizi ya mwanzo ndipo anifanyie dawa zake. Mi nilikataa hivyo sikufanyiwa dawa yoyote zaidi kupewa vimajani majani kama kolezo la viapo na mdosi endapo nitamzunguka. Tulirudi nyumbani kwa mdosi na hivyo akaniambia kuna kazi natakiwa nikaifanye usiku ambayo sio kubwa sana maeneo ya mwami boarder upande wa malawi. Ili kujua kama niko vizuri na nina mudu hizi shughuli na je? Ataweza kuniamini! Hivyo nilipewa kikosi cha watu 3 na mimi wanne wote watanzania.
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Naam
 
Sehemu ya 15

Niliishi mafichoni kwa wiki mbili hapo Nakonde huku nikiendesha matukio ya wizi Tanzania na kukimbilia upande wa Zambia. Nikaamua niondoke na kuelekea Lusaka, ambapo tuliondoka majira ya jioni na njiani nilikuwa kimya sana maana Wazambia ukiacha pale Nakonde huko wengine hawajui Kiswahili na kipindi hicho walikuwa wengi watu wazima hawajafanyiwa circumcision.

Njiani kulikuwa na road block kadhaa haswa za ukaguzi wa passport na wahalifu, ila hata hawakukagua na tulifika Lusaka majira ya alfajiri. Nilishuka pale nikiwa sina ramani yoyote kabisa na wapi naelekea. Hivyo nikaona nibaki hapa hapa stendi, na muda ukazidi kwenda na mfukoni nina kwacha zangu za Zambia na kipindi hicho kwacha ilikuwa haina thamani kabisa tofauti na sasa.

Nikawa nazurua tu pale nikawa kichwa kinawaka moto nikaenda kwa shoeshine jirani nijaribu kupata walau A na B ya hapo Zambia. Nilipofika alinikaribisha kwa Kiingereza na kwa Zambia wanaongea kiingereza na kikabila.

Nikaona huyu kwanini anikaribishe kwa kiingereza wakati kila sehemu unasikia watu wanaongea kikabila na ukikuta Kiingereza basi sio wa jamii hiyo. Akaniuliza wewe umetokea Zambia maeneo gani? Mi nikamwambia nimetokea Nakonde boarder, na yeye akaniambia kwahiyo unajua kiswahili kidogo nikamjibu ndiyo. Akaanza kunisemesha kwa Kiswahili, na Mtanzania akiongea unajua tu huyu ni mtz.

Tukaongea sana akaniambia kuna mshikaji yuko huko Chipata Zambia ambako ni boarder na Malawi ataniunganisha naye, naye ni Mtanzania wa huko huko Moshi. Ana dili nyingi sana hivyo kama niko tayari basi niseme anielekeze nifike huko. Na akanisihi kuwa kwenye maisha lazima uwe na side hustles kama yeye huwa anaenda piga dili ila akirudi anashona viatu na kupiga kiwi viatu. Hivyo hela anatuma Tanzania na familia inasonga mbele.

Tuliongea mengi sana na mwisho kwasababu ndiyo kazi ambayo nina uzoefu nayo niliamua lolote mbele yangu litalokuja nalifanya. Nililala Lusaka kwa jamaa kwa siku 2. Kabla kuondoka na kuelekea Chipata, njiani hakukuwa na mengi zaidi ya kula samaki kuna mto mkubwa sana ukiwa unaelekea huko Chipata.

Nilifika na kutokana na maelekezo nilifanya namna nilivyoambiwa na kutafta usafiri ulionipeleka mpaka kwa mhusika mkuu hapo Chipata. Nilifika na alinipokea baada ya maelezo marefu.

Huyu bwana ni mtu Kibosho kwa hivo stori zangu na zake hazikuwa na utofauti sana yeye alinieleza stori yake ambapo kwa ufupi sana alikuwa anaiba magari Tanzania na kuyapeleka Kenya. Wezi walipoanza kuwa wengi na biashara ikawa sasa ngumu akaamua kuja Zambia kuja kuendeleza mishe zake ambazo anasema ameshakuwa na chaneli kubwa sana.

Na mimi nilifurahi kukutana na mdosi mwingine wa nyumbani na haswa ugenini nikiamini huku hata kuchinja ntachinja maana ni ugenini. Alinizungusha Chipata pale kwa siku mbili na kuniambia ni lazima anipeleke kwa mtaalam kwaajili ya kufanya dawa maana hizi biashara bila dawa ni ngumu sana haswa ukizingatia ushindani ndani ya biashara ya wizi imekuwa kubwa na kuzidiana kete.

Mi sikuwa na ubishi wowote na tulienda kweli kwa mtaalam na tulipofika, alisema dawa haiwezi panda dawa. Hivyo lazima nikubali kutoa hirizi ya mwanzo ndipo anifanyie dawa zake. Mi nilikataa hivyo sikufanyiwa dawa yoyote zaidi kupewa vimajani majani kama kolezo la viapo na mdosi endapo nitamzunguka.

Tulirudi nyumbani kwa mdosi na hivyo akaniambia kuna kazi natakiwa nikaifanye usiku ambayo sio kubwa sana maeneo ya Mwami boarder upande wa Malawi. Ili kujua kama niko vizuri na nina mudu hizi shughuli na je? Ataweza kuniamini! Hivyo nilipewa kikosi cha watu 3 na mimi wanne wote watanzania.

Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.

Shusha vitu maana ulipotea weekend ili tufidie
 
Good afternoon brothers and sisters Sehemu ya 14

Jamaa taarifa alikuwa ameshapata, hivyo hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwangu ya kujua kinachoendelea. Moyo wa mtu ni kichaka na ni fumbo kubwa sana. Kiujumla nilikolea sana kwa mke wa jamaa ikafika hatua akawa mpaka anamwibia jamaa hela na kunipa na mimi kila ninapokuwa naye nilijihisi amani kwa mke wa mtu.

Siku ya ijumaa nakumbuka kuna dalili ya wingu asubuhi ya saa tatu, tumbo lilikuwa linaniuma sana yaani lile la kukata na unajisokota kama nyoka umaaji wake. Niliwaza shida ni nini haswa ghafla nilisikia hodi mlangoni, ni mke wa jamaa alifika. Nilimkaribisha nayeye alikuwa amekuja na ameleta mapocho pocho asubuhi ile kwa ajili ya chai.

Tumbo liliachia ila nilihisi sasa limekuja tumbo la kuhara ikabidi nikimbie niwahi chooni, kufika kuna mtu ikabidi kwa haraka haraka niende nyumba ya jirani niombe kuingia chooni. Lakini nikiwa kule nahisi kuhara ila vitu havitoki ndio ghafla nikatapika sana na mapigo ya moyo yakienda kwa kasi mnoo!

Nilitoka kule mwili ukiwa unatetemeka wakati narudi sio mbali na geto nasikia fujo na kama kuna zogo hpo home. Kiutaalam nilishajua kuwa kwa zile ishara basi balaa lilikuwepo mbele yangu hivyo nilisogea ado ado nichungulie kunanini? Ile kusogeza kichwa nichungulie nikasikia sauti yule kule!

Walinikimbiza sana nikiwa nimevaa bukta na singlendi, walivyoona hawanikamati wakaanza kuniitia mwizi na kwa Tunduma hawana mchezo na wezi kabisa. Kilichoniokoa na kipigo ni mvua iliyoanza kunyesha na mimi kuingia kwenye pagale moja kujificha nikiwa hoi sana.

Nilikaa pale sana nikiwaza na kuwazua sana kuwa nimenusurika, lakini kwanini waniite mimi mwizi? Na mbaya sana mwanamke wangu itakuwaje kule nyuma, hivyo lazima niangalie njia ya kurudi na kujua mambo yanakwendaje.

Giza lilipoingia nilirudi mpaka mitaa ya jirani na geto nikakutana na mama mmoja njiani nakumuuliza kinachoendelea pale kwetu! Aliniambia kwa usalama wangu nihame huu mkoa lasivyo wakinikamata hakuna rangi ntaacha kuona.

Geto pale naona pamepigwa kofuli kwa nje, nikatafta bisi bisi( komeo ni zile za kugongea misumari au ufunge na screw) hiyo kwangu ilikuwa ni kazi rahisi, na majira hayo yalikuwa mida ya 2 usiku. Bado kuna pilika pilika za majirani na wengine wananiona.

Nilifanikiwa zoezi langu na kuingia ndani nilikaa kwa muda wa kama nusu saa, nikavaa nguo zangu na kubeba hela. Wakati sijafika hata mbali nao wakawa wameingia hivyo taarifa walipata nikasikia hajaenda mbali lazima arudi, maana mlango sijafunga. Kwasababu ni giza wakashauriana twendeni tuelekee stendi tukamvizie na akirudi utupe taarifa! Kwahyo kuna jirani ndio aliuza mchongo.

Tulipishana sasa mimi niliharakisha kwenda kwake wakati huo yeye anawahi stendi kunivizia kama atanidaka huko.

Nilifika kwake kuko kimyaa kidogo, nikawa nasikilizia kwanza nijue kuna mtu au laa! Nilikaa sana pale, nikamwona kwambali jamaa anajongea wako wawili wamebebana kwenye pikipiki. Akashushwa na yule mwenzake wakapiga story zao na kujipa matumaini ya kuwa watanikamata na nitajuta.

Mwenzake aliondoka na sasa alibaki jamaa mwenyewe, akawa anafungua grili akamaliza wakati anafungua sasa mlango mimi nilimvaa na kumpiga kabali yaani roba kwa nyuma alikuwa naye si haba hivyo alianza purukushani na mimi katika ile hali ya kuona huyu atanishinda nilimchoma na bisi bisi mara tatu. Alilegea akawa analia kwa maumivu na mimi nikakimbia eneo la tukio kabla watu hawajaanza kujitokeza. Usiku huo huo mi nilitorokea upande wa zambia boda kule kunaitwa Nakonde. Na kwa usiku huwa hamna ule mwingiliano wa mchana wa watu.

Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Hatimaye[emoji122]
 
Kwa hyo unataka nilazimishe kwamba walifanikiwa kwa wizi?
Hapana, ila onesha walifanikiwa vipi ili kama muanzisha uzi bado amekwama, apate njia mbadala ya hii anayotusimulia humu.
 
Back
Top Bottom