Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Mwamba ametimkia Lusaka Zambia..Daah hatari sana..

Acha niendelee kula vitu.
 
Hapa kidogo panitoe roho. Kuna ajali ya coaster ilitokea 2019, na watu 19 walifia hapo hapo ila kwa rehema za Mungu nilitoka salama tena bila kuumia popote labda tu nilipata mchubuko kidogo tu mguuni
Unamaanisha 2009 Mkuu?

Hii ajali naikumbuka, ilikuwa mbaya sana, Coaster ilining'inia kwenye kingo za Daraja watu wakawa wanadondokea mtoni.

Acha kabisa.
 
Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?
Njiro kawaida ndugu yangu, kwa tuliokaaa njiro tunaelewa, halafu hiyo story ya njiro niliwahi isikia kipindi nakuwa ilivuma Sana baadae walihama wale wahindi
 
Unamaanisha 2009 Mkuu?

Hii ajali naikumbuka, ilikuwa mbaya sana, Coaster ilining'inia kwenye kingo za Daraja watu wakawa wanadondokea mtoni.

Acha kabisa.
Yap sorry ilikuwa 2009.

Ingedondokea mtoni wote tungeishia pale pale.
 
Kwa dirishani huu upande wa lami. Watu tuliokuwa katikati ndio hatukuumia sana.
Ila nyuma ndio walikufa wote na mbele walipata majeraha makubwa.

Ilikuwa January 2009, ndio nilikuwa narudi shule moshi baada ya likizo ya December
Pole sana..nilikuwa mgeni mgeni Arusha kipindi hicho, nilishuhudia miili ikitolewa mtoni
 
Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?
Wahindi hawana iyo tabia ya kuweka pesa bank, labda sikuizi ila apo nyuma kanjibai walipigwa sana matukio Arusha kwa kukaa na ukwasi mkubwa ndani au kusafirisha pesa ndefu bila escort ya askari.
 
Back
Top Bottom