Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Katika misheni za ujangiri hajakutana na kina master huko a.k.a Umughaka ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uskute ndo hawo wanapiga risasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika misheni za ujangiri hajakutana na kina master huko a.k.a Umughaka ???
KibamiaAsante ila fupi sana!
Unamaanisha 2009 Mkuu?Hapa kidogo panitoe roho. Kuna ajali ya coaster ilitokea 2019, na watu 19 walifia hapo hapo ila kwa rehema za Mungu nilitoka salama tena bila kuumia popote labda tu nilipata mchubuko kidogo tu mguuni
Hii ndio naisikia leoBiashara ya wizi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂😂😂
🤣🤣 hii dunia haiko fair kabisaNimefika kwa wakati kujifunza hustle za kiume,wewe unapohabgaika kuitafuta hela kumbe kuna wenzio wanahangaika jinsi ya kuichukua.
Njiro kawaida ndugu yangu, kwa tuliokaaa njiro tunaelewa, halafu hiyo story ya njiro niliwahi isikia kipindi nakuwa ilivuma Sana baadae walihama wale wahindiNinachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?
Yap sorry ilikuwa 2009.Unamaanisha 2009 Mkuu?
Hii ajali naikumbuka, ilikuwa mbaya sana, Coaster ilining'inia kwenye kingo za Daraja watu wakawa wanadondokea mtoni.
Acha kabisa.
Kwa dirishani huu upande wa lami. Watu tuliokuwa katikati ndio hatukuumia sana.Mkuu ulitokea mlangoni au ulidondokea kwa nyuma?
Ilikuwa 2008 mwishoni
Pole sana..nilikuwa mgeni mgeni Arusha kipindi hicho, nilishuhudia miili ikitolewa mtoniKwa dirishani huu upande wa lami. Watu tuliokuwa katikati ndio hatukuumia sana.
Ila nyuma ndio walikufa wote na mbele walipata majeraha makubwa.
Ilikuwa January 2009, ndio nilikuwa narudi shule moshi baada ya likizo ya December
Polisi hawa wa Tanzania au wa Ulaya?Una uhakika Polis hawakutafuti tena?
Kamanya kure vandu vengi veveecha kevika maksudi tiki.Kajamaa ka kekalesi sana
Wahindi hawana iyo tabia ya kuweka pesa bank, labda sikuizi ila apo nyuma kanjibai walipigwa sana matukio Arusha kwa kukaa na ukwasi mkubwa ndani au kusafirisha pesa ndefu bila escort ya askari.Ninachojiuliz na kukosa majibu kwamba miaka hiyo kulikuwa hamna Bank mpaka MTU akae na pesa ndani?
Kama yule Mhindi akae na 500M nyumbani?