Dogo mimi binafsi nimeshiriki chaguzi nikiwa pande tofauti za vyama mfano mwaka 2015 nilikuwa kwenye timu ya mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CUf....Kati ya kata 16 tuliongoza kata 14 tena kwa vishindo sana sasa mtihani ukaja kwenye kumtangaza mshindi yalipigwa mabomu bila sababu ila wananchi wala hawakutishika,,,,bila ocd kumshauri mkurugenzi kuwa nitatoa askari ubaki pekeyako Walah Walah Mwenyezi Mungu shahidi asingetangazwa mgombea alieshinda....kwahiyo ukiona mgombea wa upinzani katangazwa mshindi tambua sio jambo jepesi lazima kuwe na vurugu