Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Dogo mimi binafsi nimeshiriki chaguzi nikiwa pande tofauti za vyama mfano mwaka 2015 nilikuwa kwenye timu ya mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CUf....Kati ya kata 16 tuliongoza kata 14 tena kwa vishindo sana sasa mtihani ukaja kwenye kumtangaza mshindi yalipigwa mabomu bila sababu ila wananchi wala hawakutishika,,,,bila ocd kumshauri mkurugenzi kuwa nitatoa askari ubaki pekeyako Walah Walah Mwenyezi Mungu shahidi asingetangazwa mgombea alieshinda....kwahiyo ukiona mgombea wa upinzani katangazwa mshindi tambua sio jambo jepesi lazima kuwe na vuruguUnasema uchaguzi sio huru wala wa haki lkn ukishinda hukatai, ukishindwa unalalamika.
Ndio maana kila hatua vyama mnashirikishwa ikiwemo kila chama kuwa na wakala katika chumba cha kura, kama mliweza kupata ushindi kwann msingetumia utaratibu huo huo kupata ushindi kwa chaguzi nyingine?Dogo mimi binafsi nimeshiriki chaguzi nikiwa pande tofauti za vyama mfano mwaka 2015 nilikuwa kwenye timu ya mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CUf....Kati ya kata 16 tuliongoza kata 14 tena kwa vishindo sana sasa mtihani ukaja kwenye kumtangaza mshindi yalipigwa mabomu bila sababu ila wananchi wala hawakutishika,,,,bila ocd kumshauri mkurugenzi kuwa nitatoa askari ubaki pekeyako Walah Walah Mwenyezi Mungu shahidi asingetangazwa mgombea alieshinda....kwahiyo ukiona mgombea wa upinzani katangazwa mshindi tambua sio jambo jepesi lazima kuwe na vurugu
....................kama ya kwako.Niwapi usipoelewa; 'unless' akili yako ni mbovu!
Katuga anajua sheria ndio maana yupo pale, huyo unayemuona anajua sheria mara ngapi kapigwa za uso?Video yetu na nani?
Sasa Katuga anajua sheria au wewe kipofu?
Kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu we umemuona anajua? 😹😹😹
Ndiomana tunachelewa kupata katiba mpya sababu ya wajinga kama nyie..!!
Tuwaulize Wafuasi wa CHADEMA wenyewe wamemwelewa Heche anavyojifanya kutomfaham Salman!Chukulia nimemtuma mdogo wangu akuwekee pesa kwenye akounti yako 10m kama tulivyokubaliana then mdogo wangu aka andiko Jina lake moja ya Salman.
Wewe unanijulisha kuwa umeona 10m kutoka kwa Salman nakujibu ndiyo imetoka kwangu.
Baada ya miaka miwili unaulizwa kama unamfahamu Salman unajibu kuwa unamfahamu?
Hawa mashahidi muhimu waliopewa wito rasmi na mahakama wasipofika mahakamani ni dhahiri mahakama haiwezi kutoa hukumu ambayo ni just and fair maana mshitakiwa anaona hawa ni mashahidi muhimu ili kesi itamatike na mahakama ilikubalina na hoja za mshitakiwa hivyo kutofika kwao mahakamani maana yake kunaathiri hukumu moja kwa moja.Na wasipokuja, Lissu atadai kanyimwa haki yake ya kujitetea.
Majaji watatoa hukumu dhidi yake bila ya kuwasikiliza mashahidi wake?
Ukiwa na akili mbovu huwezikujuwa ya kwangu ikoje; hata hili inalazimu uambiwe?....................kama ya kwako.
Usisahau: Katuga anasema "mahakama si mama yako", (mshtakiwa/shahidi).Hawa mashahidi muhimu waliopewa wito rasmi na mahakama wasipofika mahakamani ni dhahiri mahakama haiwezi kutoa hukumu ambayo ni just and fair maana mshitakiwa anaona hawa ni mashahidi muhimu ili kesi itamatike na mahakama ilikubalina na hoja za mshitakiwa hivyo kutofika kwao mahakamani maana yake kunaathiri hukumu moja kwa moja.
(Nimecopy comment ya Yimakatso kwenye uzi wa leo mahakamani)