Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

Niliposikia eti kale ka-binti sijui ka -NIFWA au NIFAA kamepewa kesi ya namna hiyo nikasema ni bora kuchagua ANDAZI.
 
Hawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
  1. John Pambalu
  2. John Heche
  3. John Magufuli
  4. John Mnyika
  5. Ongeza wengine
John bravo
John walker
John lissu
John mbowe
 

Mashtaka yanasema kosa hilo lilitendeka wapi ???
 
Hawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
  1. John Pambalu
  2. John Heche
  3. John Magufuli
  4. John Mnyika
  5. Ongeza wengine
Nili mfahamu John pambalu akiwa kijana mdogo akisoma secondary IHUNGO HIGH SCHOOL alikua akija nyumbani kwetu na mdogo angu walio kua wanasoma wotee kipindii hiko..
Nikijana mnyenyekevu sana sanaa ni kijana mzalendo sana na mwenye busara sana

Ongea yake hulka zake ni kijana ambae hawezi kutukana matusi hata kusema neno **** hawezi kulitukana

John hanywi pombe havuti BANGI Wala sigara ni mkatoliki kindaki ndakii na kijana mwenye MAONO makubwa kwa nchi yake

Nakumbuka alivyo kua akinisalimia kwa nidhamu sana kaka Am 4 real shikamoo

Baadae nikaanza kumuona kwenye video akiwa bavicha taifa sikuwai kuwasiliana nae tena mpaka Leo hii naona kapewa kesi ya UGAIDI
 
Samia anatakiwa kuwa mstari wa mbele katika hao waliochochea; na kama hulijui hili wewe utakuwa akili umeificha mkunduni.
Sasa Mkuu !

Mimi najiuliza mbona kunakuwa kama kuna mkanganyiko wa mambo ? Samia ameunda tume ya Jaji Ally Lila kuchunguza kwa kina ghasia zilizotokea siku ya October 29 mwaka 2025, kwqnini Polisi wanaendelea kukamata na kuhoji watu? Kwanini wasiache tume imalize kazi yake ?

Mwabukusi kaitwa ofisi ya ZCO wiki iliyopita akahojiwa kuhusu tuhuma za kupokea fedha na kufadhili maandamano, jana John Pambalu amepewa kesi ya uhaini . Je hii haiathiri kazi inayofanywa na tume ?
 
Tunaongozwa na wahuni ambao kila siku wanahangaika kutafuta mbinu za kuwaonea watu wote wanaoonekana kutaka nchi iwe inaongozwa kwa haki. Wahuni wanataka wafanye uovu wao, na kusiwepo wa kupanua mdomo wanapofanya udhulumati wao.
Mungu uturehemu, tunaomva ukasimame na wanaoipenda haki kwa sababu wewe ni Mungu wa haki, na kamwe shetani mdhulumu haki asipate ushindi kupitia mawakala wake. Shetani aendelee kuwahadaa, lakini siku moja wajutie kwa kupenda uovu.
 
Hawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
  1. John Pambalu
  2. John Heche
  3. John Magufuli
  4. John Mnyika
  5. Ongeza wengine
John Ndejembi
 
Mahakama ndio chombo cha haki kamsaidieni kujitetea akishinda ataachiwa, kwann alikimbilia kenya na kimemrudisha nn tz?
 
serikali makini ipo kazini.
 
Nani huyo tena anaitishiaJamuhuri ?.
Jamuhuri gani hii inaogopa vitisho ?
Jamuhuri ipi iyo inatishika kizembe ?

Mbona jamuhuri ya kioga hivyo inatembea imekunja mkia kama mbwa koko !!.

Kwa nini Jamuhuri haina confidence? Kwa nini jamuhuri inahofu muda wote ?

Jamuhuri iliyopoteza kujiamini kila ikisikia kishindo inakimbia huku na kule !!

Jamuhuri iliyoundwa na mafisadi na walafi, ni jamuhuri ya hovyo ,, Hopeless 🗑️

Bado jamuhuri ina play victim yaliyotokea October 29.
 
Watu weusi sisi sio binadamu kamili.
 
Jamhuri ipo kazini kila atakayejaribu sheria zipo kikazi zaidi.
 
Pole yake ila huu ndio wakati wa kuonesha ule umwamba wake Sasa ambao Huwa anatamba akiwa huru Nje.
 
Hawa wangese naada ya kuona kesi ya ugaidi inalichoresha Taifa kimataifa sasa wamekimbilia kupachika wtu kesi ya Uhaini. Qumer mae zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…