Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Kiislam Jina John linaitwa Yahya....Ni jina ambalo limetoka moja kwa moja kwa Mungu kama zawadi aliyompa Nabii Zakariyah ampe mwanawe pekee wa kiume aliyempata katika uzee mkubwa hali ya kuwa mkewe alikuwa Tasa. Kabla ya hapo hakukuwa na mtu aliyeitwa Yahya hapa duniani. Wazungu wakaja kulibadilisha na kuliita John.Hawa akina John wana nini maana ni kama wana mtazamo fulani wa kutokubali mambo kwenda isivyo
- John Pambalu
- John Heche
- John Magufuli
- John Mnyika
- Ongeza wengine
Ina maana kubwa sana hiiKiislam Jina John linaitwa Yahya....Ni jina ambalo limetoka moja kwa moja kwa Mungu kama zawadi aliyompa Nabii Zakariyah ampe mwanawe pekee wa kiume aliyempata katika uzee mkubwa hali ya kuwa mkewe alikuwa Tasa. Kabla ya hapo hakukuwa na mtu aliyeitwa Yahya hapa duniani. Wazungu wakaja kulibadilisha na kuliita John.
Yahya (John the baptist) historia yake ni kuwa alikuwa akipingana na mfalme wa Roma aliyekuwa akitawala Jerusalem. Kutokana na kupinga kwake ilimpelekea mwisho kuuliwa kwa kukatwa kichwa.
Majina huwa yanafata Asili...hawa ni watu wenye misimamo isiyotingishika wala kuogopa wenye mamlaka. Wakisimamia jambo ni mpaka liwe, sio waoga na pia ni watu wanaokuwa na elimu na hekima sana katika jamii. Misimamo yao hupelekea kuingia matatizoni dhidi ya watawala na hata kufikia kupata madhara.
Ongea yake inaonyesha kabisa ni innocent guyNili mfahamu John pambalu akiwa kijana mdogo akisoma secondary IHUNGO HIGH SCHOOL alikua akija nyumbani kwetu na mdogo angu walio kua wanasoma wotee kipindii hiko..
Nikijana mnyenyekevu sana sanaa ni kijana mzalendo sana na mwenye busara sana
Ongea yake hulka zake ni kijana ambae hawezi kutukana matusi hata kusema neno **** hawezi kulitukana
John hanywi pombe havuti BANGI Wala sigara ni mkatoliki kindaki ndakii na kijana mwenye MAONO makubwa kwa nchi yake
Nakumbuka alivyo kua akinisalimia kwa nidhamu sana kaka Am 4 real shikamoo
Baadae nikaanza kumuona kwenye video akiwa bavicha taifa sikuwai kuwasiliana nae tena mpaka Leo hii naona kapewa kesi ya UGAIDI
tatizo wanapendaga sifa za mitandaoni kuliko hata future zao na vizazi vyaoJohn Pambalu angeachiwa ila maelezo yake katika kazi alizofanya October 29/2025 ndiyo yamempeleka Ukonga tumuombee
Ntakua nimeficha kwenye mnduku tepe wa mama yakoSamia anatakiwa kuwa mstari wa mbele katika hao waliochochea; na kama hulijui hili wewe utakuwa akili umeificha mkunduni.
Una uhakika za uongo?Ila wale waliotangaza kura 31m za uongo wahashimiwe.
Pasingekua na uchochezi,pasingekua na kauli na nia ya kuvuruga,kuzuwia uchaguzi,hakuna risasi ingefyatuliwaVipi kuhusu walio ua na walio toa amri watu wauliwe kama panya?
Sasa tume mmeunda ya nini kama mmeshajua wahaini?? Hapo hapo mnaimba maridhiano, sasa mnataka maridhiano huku kamata kamata inaendelea?Wote waliochochea oktoba 29 Dola iwaangukie ili yasijirudie
Maridhiano siyo na wachochezi na waratibu, maridhiano ni ya watz,maana tmegombanishwa sana na kile chama Cha matusi,kuhubiri chuki,uzush na kifarakanisha raiaSasa tume mmeunda ya nini kama mmeshajua wahaini?? Hapo hapo mnaimba maridhiano, sasa mnataka maridhiano huku kamata kamata inaendelea?
Uchochezi ni nini? Mfano kumfunga Lissu sio uchochezi?Pasingekua na uchochezi,pasingekua na kauli na nia ya kuvuruga,kuzuwia uchaguzi,hakuna risasi ingefyatuliwa
Mkuu mbona nakuheshimu sana!..acha kujitia wazimu banaUchochezi ni nini? Mfano kumfunga Lissu sio uchochezi?
Kusema atakayeandamana atavunjwa miguu?
Watu kutekwa kuelekea uchaguzi haikua uchochezi?
kusema hakuna nywi nywi sio kuchochea hasira?
Mmesha pre empt matokeo ya tume hata kabla haijamaliza kazi yake. Just wastage of money and time kwa majibu ambayo tayari mnayo.
Mfano leo chadema wakikubali maridhiano inakuaje sasa? Lissu ananyongwa? Pambalu atanyongwa?Maridhiano siyo na wachochezi na waratibu, maridhiano ni ya watz,maana tmegombanishwa sana na kile chama Cha matusi,kuhubiri chuki,uzush na kifarakanisha raia
Wazimu ni upi? Mmeunda tume kuchunguza jinai za waliohusika kuandaa vurugu.Mkuu mbona nakuheshimu sana!..acha kujitia wazimu bana
Yule dogo sio gaidii/ muhaini.. kwanza sio muhuni hata UKIENDA KWAO BUTIMBA MWANZA AMBAPO AMEWAI KUWA DIWANI KIPINDI CHA AWAMU YA KWANZAOngea yake inaonyesha kabisa ni innocent guy
Humsaidii chochote Samia kwa akili za namna hii.Ntakua nimeficha kwenye mnduku tepe wa mama yako
Kwa maana nyingine ni kwamba tayari wanawajuwa waliohusika; lakini bado wanataka tume iwatafute waliohusika na matukio ya Oktoba 29?Sasa Mkuu !
Mimi najiuliza mbona kunakuwa kama kuna mkanganyiko wa mambo ? Samia ameunda tume ya Jaji Ally Lila kuchunguza kwa kina ghasia zilizotokea siku ya October 29 mwaka 2025, kwqnini Polisi wanaendelea kukamata na kuhoji watu? Kwanini wasiache tume imalize kazi yake ?
Mwabukusi kaitwa ofisi ya ZCO wiki iliyopita akahojiwa kuhusu tuhuma za kupokea fedha na kufadhili maandamano, jana John Pambalu amepewa kesi ya uhaini . Je hii haiathiri kazi inayofanywa na tume ?
Halafu nimesoma mahali kumbe hata miguu alikuwa amevunjwa kabla ya 29 October sasa huo uhaini anahusishwa nao vipi ?Yule dogo sio gaidii/ muhaini.. kwanza sio muhuni hata UKIENDA KWAO BUTIMBA MWANZA AMBAPO AMEWAI KUWA DIWANI KIPINDI CHA AWAMU YA KWANZA
Watamsimulia kama kijana mwenye upendo, huruma, utu na mwenye unyenyekevu usio na mfano
Mimi naweza kuwa ni mtu mzurii ila Kuna tabia ambazo yule kijana anazo ambazo watu wengi wame kwa waume humu jamii forum HATUWEZI KUZIFIKIA
Walivunjwa miguu uki ingia YouTube utaona walikamatwa wakatupwa hupo polini wakiwa wamevunjwa miguuuHalafu nimesoma mahali kumbe hata miguu alikuwa amevunjwa kabla ya 29 October sasa huo uhaini anahusishwa nao vipi ?