Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

Planned , na masharti , hv huko zenj wanawake wote wa kule miyeyusho?
 
Pisi kale za kupiga na kuacha wanaune wengi hawaoi pisi kali.
And by the way, sidhan kama wale wako mahabani ni njia tu ya kupiga pesa
Domo hawezi kukaacha kale lazima akale tu hata mi nisingekaacha japo kabovu ila kuoa pisi kama inakuheshimu na kukupenda raha sana asikwambie mtu
 
Planned , na masharti , hv huko zenj wanawake wote wa kule miyeyusho?
Taaluma za baharini, kupima upepo na kuamrisha matukio. Unaweza kuwa msukule bila kujijua. Ogopa sana wanawake mashangingi wa location!.

Hivi wewe unaona mondi ni wa kuenda na hako kamtu, japo kalisoma upepo kakajilengesha na kupewa support? Uzito wa backup yake unakapa confidence na kama Mond hatajifambua, mwiso wake ni majuto makubwa sana kwa kwake na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…