Kutoka mtaji wa elfu 20 hadi kumiliki mabasi

Usimpinge mkuu. Inaweza kuwa shilingi elfu ishirini ya miaka ya 80 au 90. Jana kuna mzee nilikuwa napiga nae story, akaniambia kuna tajiri mmoja anamfahamu, alianza kazi kama mlinzi wa kiwanda, miaka hiyo. Baadae akaanza kuvua samaki, akaanza na mtumbwi mmoja, then miwili, mitatu....mpaka akawa na fleet ya mitumbwi. Anasema kipindi viwanda vya samaki vinaingia Mwanza huyo jamaa alishakuwa supplier mzuri wa sangara viwandani. Kwa maelezo ya mzee, huyo jamaa kwa sasa anaweza kuwa hata na trillion in cash, nyumba zaidi ya 130 na asset moja kubwa ambayo nikiitaja inaweza ku-reveal ID yake. Lakini pia nilisikia na yule mwenye malori na vituo vya mafuta wa Tunduma mwenye jina linalofanania na kiungo pendwa kwenye mboga 🍅 🍅, nae alianzaga na matenga kadhaa........ Ninachotaka kusema hapa, IT IS VERY POSSIBLE.
 
Kwa hiyo ukimtaja huyo wa Mwanza utafukuzwa kazi
 
Utajiri wa kumtegemea sheitwani huwa una siri kubwa zilizoshiba kafara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…